Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Bila kujilazimisha kuelewa hautaweza kulazimishwa kuelewa. Inshort hakuna aliyeweza kufika maana kuipata ni lazima uwe nje ya dunia na hakuna pakutokea!! Yaani ni sawa uitake picha ya kati kati ya dunia katika dunia mviringo!
Kama ipo flat, majira ya mchana na usiku tunapataje!? Muda na vipindi tofauti tofauti tuna pataje! Ikiwa flat unajua gravitation ita athiri vp walio katikati ya dunia na walio mbali nao itaathiri vp
 
Kuandika sana haina maana unajua sana aisee kumbe kuna watu ni dull to this extent yani black brain inamatatizo kila kitu kwake ni conspiracy

Kwanza umeelewa bible vibaya it is very clear in the bible that the earth is a sphere (approximate ) kasome the book of Isaiah chapter 40 verse 20 to 22

Unaonekana wewe ni mwana literature sio mwana sayansi maana ur arguments are vague, most of them are not scientific kabisa

We have telescopes that go further up to 150km kwa flat earth ingekuwa naiweka ufukweni pale coco beach naangalia Zanzibar kwa starehe kabisa kitu ambacho kwa MTU mwenye slightest knowledge ya astronomy na geodesy atacheka kwakwelii sababu itakuwa ni utoto wa hali ya juu

Mengine nashindwa kuandika kabisa yani daa
Wewe ni mwana literature maana unaandika vizuri kweli sad thing scientifically umeandika blunders allover ur thread

[emoji706]
 
Sorry man but sijajua elimu yako how has this thread convinced you
Unajua watu hawaelewi this is a conspiracy not true at all the thing ambacho wabongo wengi hawajuo ninkwamba the guys wanatufata pesa through deceit mnavisit blog zao wanapiga ela hafu wana walisha watu ujinga kabisa

Hizi website nazipiga vita kabisa maana zinapotosha wengi wana take things serious nahuku jamaa anatafuta pesa through website au blog yake

All that being said kwa MTU mwenye slightest knowledge kuhusu geodesy, believe me I am a geodesist all that is almost nonsense
The earth is approximately a sphere or a more better approximation ni ellipsoid .
The earth is an ellipsoid for geodetic purposes since tuna take a more accurate approximation .
But for normal navigation na shughuli nyingine kama za engineering a sphere is a good approximation .......but a flat earth hahahaha huu ni utoto wa wahenga kabisa hata ukipanda ndege unaona hili aisee kwamba dunia haipo flat .
 
Mzee baba ukimwambia mtu the earth is flat.. Usisahau kumwambia huo uflat umeanzia wapi na kuishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

TIG
Kwanza kabisa umesema kwamba the Bible is very clear about the earth being a sphere kitu ambacho ni uwongo
Isaiah chapter 40 verse 22 inasema
"22.He sits enthroned above the circle of the earth,
and its people are like grasshoppers.
He stretches out the heavens like a canopy,
and spreads them out like a tent to live in."
hakuna sehemu hapo iliposema au kuprove kua dunia ni spherical
in other words the bible verse above indeed proves the earth to be stationary and futher more that there is a firmament above "He stretches out the heavens like a canopy,
and spreads them out like a tent to live in."
 
Wasemao dunia ni tambarare watuambie ni nini kinasababisha usiku na mchana.
Na kama dunia ni tambalale je inaanzia na kuishia wapi?
 
Kama ipo flat, majira ya mchana na usiku tunapataje!? Muda na vipindi tofauti tofauti tuna pataje! Ikiwa flat unajua gravitation ita athiri vp walio katikati ya dunia na walio mbali nao itaathiri vp
Nikikuonesha namna majira ya mwaka yanavyopatkana na jinsi usiku na mchana unavyopatikana utaamni kua dunia ni tambarare au unapenda kubishana tuu?? Majibu yote yenye msaada wa oicha na video yapo humu usome uzi wote ili uulize maswali ambayo umekosa majibu yake! Usiwe mvivu kama unataka kuelewa other wise uamue tuu kubishana
 
hebu subiri kwanza kabla sijamaliza kusoma hii mada ndeefu,unaposema dunia ni flat nataka kujua lile kombora la North Korea linapitia wapi kwenda U.S ..naona mipango inabadilika kabisa!!
 
hebu subiri kwanza kabla sijamaliza kusoma hii mada ndeefu,unaposema dunia ni flat nataka kujua lile kombora la North Korea linapitia wapi kwenda U.S ..naona mipango inabadilika kabisa!!
Duuh! Huko sipajui aisee labda tuwaulize wakorea wenyewe, kwani kwenye dunia mviringo kombora linapita wapi?
 
mkuu sina maana ya kubisha ila najiuliza kama utaelekea upande fulani na ukajikuta umerudi pale pale hiyo siyo duara tena? au unazungumza flat ipi hiyo uelekee upande mmoja na mwisho unafika sehem uloanzia safari..
 
The earth is sphere!!
Hayo ma flat earth ni wapiga dili kama ccm tu!!
Also hizo evidence wanazotoa hazina mantiki!
Nimesafiri,nimepanda ndege
Also nimepanda meli
Nikiwa angani wakat nachungulia ki dirisha naona kabisa Mduara wa dunia na wala sioni hiyo flat!!
Hivi kitu ambacho kipo flat hata ukikitazama kwa juu c kitaendelea kuwa flat????
Also wakat nasafiri na ma meli pind nikiwa baharini nilikuwa naona kabisa mduaraa design kama kwa mbele kuna duara!!
Hiv kama dunia ingekuwa flat c ningeona u flat??
Mwisho kabisa nafanya kazi NASA!!
evidence zipo!!!
Also kuhus kwenda mwezini!!!
Ooops hapo pana utata mkubwa sanaaa coz hata hapa wako wengine wanapinga hilo swala!!
Nitarejea

Shukran za pekee ziende kwa thesym!
 
Also za kuambiwa changanya na za kwako!!
Hiyo ni fasihi next time fikiria vya kutosha!!!!!
 
we na ww uko brainwashed.na ushakubaliana na uongo wa wazungu...usidharau mawazo ya mwenzio...we unapinga kwa hoja za kuambiwa.wenzio wameumiza vichwa kuupata ukweli huo...swala la bible kuwa na verse ya sphere hiyo inaeza kupachikwa tuu ili kuwazubaisha watu...mbona hiyo bible pia inasema jua lilisimama kwa mda joshua apigane.na sayansi yako inadai jua halizunguki???...
science ina mambo imepatia lakini mengine imefeli tena vibaya mno..soo usiwaamini hao nasa 100%
 

Ndugu epuka kusema kitu ambacho ukijui! marubani wakiwa angani ile bending iko clear wala hauhitaji kuambiwa kama hivi, tuseme na kutetea kile ambacho tunakijua bila kuingilia professional za watu! Hata kama umepanda ndege tu bending ni kitu cha kawaida sana kukiona bila hata kuambiwa
 
Ushahidi kuwa Dunia ni duara uko wazi kabisa, tumia jua! Linaanza kutoka mashariki lakini haliwaki dunia yote linawaka kidogo kidogo na kuzama hivyo hivyo

Ingekuwa flat lingekuwa linawaka kwa wakati mmoja au linazama kwa wakati mmoja, nafikiri wanaosema ni flat wanaacha hii evidence makudi

Kitu kingine tusichanganye dini na sayansi, ukivichanganya na kulazimisha viwe kitu kimoja utakuwa haueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…