Wewe ndiyo unajiona wa maana? Kwa lipi zaidi? Kwa hoja ya internet?Flat earthers mnapotumia internet inayofanikishwa na satellite hizo hizo zinazowapa picha ya dunia iliyo duara mnanifurahisha sana.
Mngeikataa internet nayo kuwa si ya kweli ningewaona watu wa maana zaidi.
Can u prove kwamba kuna mtu alifika mwezini ? Au nawe unatumia Imani kama tu watu wa dini ?Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science ata kama ni mwana science anaichanganya na imani apo ndo hutokea confusion
FaizaFoxyMkuu usiseme tumeaminishwa.Ukianza kuwa na majibu ya hivyo na mimi ntasema umeaminishwa hivyo unavyosema.I am giving you facts.
Nnaanza kupata wasiwasi zaidi dhidi ya utafiti wako baada ya kuniambia kuwa hamna proof ya kuizunguka dunia from east to west.Je, unajua kuna flights from US zinahead west (mostly via polar norths for economical reasons)to reach Asia na wakati huo huo zipo flights zinahead east to reach Asia?This proves my point.
ukishakua na akili mgando kwenye dini matokeo yake ndio hayaa............!! We binuka, jipinde, Science haidanganyii and u cant change reality.......... na ukwelii ni kwamba dini zinaharibu fikra za watu ata kama kitu kishakua proven kwasababu tuu kwenye vitabu vyenu visivokua na ukwelii ndani yake vimeeleza kivingine hamwezi kubali
[/QUOTE
Sayansi Isiyo danganya ni hii hii inayosema Binadamu alianza kuwa nyani?
Flat earthers mnapotumia internet inayofanikishwa na satellite hizo hizo zinazowapa picha ya dunia iliyo duara mnanifurahisha sana.
Mngeikataa internet nayo kuwa si ya kweli ningewaona watu wa maana zaidi.
Swali lako linajibika kwa kujua kwamba, kama vile simu zilivyo na mifumo ya landline na wireless (cellphone/satellite) na internet nayo ni hivyo.Kama internet inafanikishwa na satellite, je cable zilizotembezwa baharini dunia nzima kazi yake ni nini?
Mimi sijasoma kabisa lakini naamini dunia ni elliptical na siyo spherical. Waombe radhi waliosoma masomo ya Arts mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Kwanza sayansi haisemi kuwa dunia ni duara kwa asilimia mia moja kama ambavyo baadhi ya watu humu wanavyodhani(bila shaka wengi wao watakuwa ni wale waliosoma masomo ya arts).
Ok ila 90% ya mawasiliano ya simu na Internet yanategemea cable zilizopo chini ya bahari na bado ndio chaguo namba moja mpaka sasa thats why bado usambazaji wa cable hizo unaendelea.Swali lako linajibika kwa kujua kwamba, kama vile simu zilivyo na mifumo ya landline na wireless (cellphone/satellite) na internet nayo ni hivyo.
Mikonga inayopita chini ya bahari ni michache, hivyo satellite zinatumika kuunganisha mabara tofauti kwenye internet.
Pia, vitu vya kwenye simu zenye internet kama GPS huwezi kupata kwa internet ya waya, kwa sababu GPS inahitaji satellite connectivity kupata high accuracy inayoendana na relativistic differences.
Sisi tuko nje ya sayari dunia-ambayo ni duara,na ardhi tunayoikanyaga ni sawa na kukanya mpira
Amini ndio hivyo mkuu...wapo waliothibitisha kisayansi mkuu,ndio maana kuna mabonde,milima n,kUna uthibitisho wa hilo mbali na ulivyofundishwa darasani?