Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
flat-Earthism isn’t designed to explain anything. It’s designed only to reject and mock everyone else, for a variety of motivations that have nothing to do with a search for objective truth.
 
Reactions: Lax

Mkuu kwa umakini ukiangalia hizo rainbow na jua utaona zinaakisi something kutoka juu na pembeni. Na ukweli ni kwamba huko juu tumefunikwa na molten glass, jua na rainbow zina akisi glass ya juu ndomana unaona inafata kabisa shep ya dome.

β€œHilary Clinton” alivyosema the highest celling glass alikuwa anamaanisha hio, ila ni vile watu hamuelewi. Fuatilia ile cartoon ya simpon niilituma humu ndani yaan wanacheza na akili zetu ni vile washatukamata watu sio wafuatiliaji wa mambo.

"One thing I really want your generation to embrace is that the Earth is a closed system. We cannot leave the Earth." -Bill Nye
 
Nimekuul
iza uliisikiliza tangu mwanzo hiyo hotuba? Kama uliisikiliza naomba nambie alikuwa anaongelea nini.
 
flat-Earthism isn’t designed to explain anything. It’s designed only to reject and mock everyone else, for a variety of motivations that have nothing to do with a search for objective truth.

Flat Earth ndo ya kwanza kuchorwa na kuwa proved na raman zote za zamani zina map ya flat Earth. NASA ndo wakawaletea the bing bang theory wakawajaza na mauongo ya Gravitatational Force. Ndo Ramani ambayo inatumiwa na Rubani wote wa ndege hapa Duniani, kwanini wasitumie ya globe??
 
Sawa, na Dunia imeshikiliwa na nn? Au nayo mpk ulete Uzi?
muulize akwambia kwa hiyo map yake ya flat kwanini new zealand na south africa hazina timezone moja,

Na pia mwanga wa jua kwenye flat earth yao kwanini haufiki mbali
 
muulize akwambia kwa hiyo map yake ya flat kwanini new zealand na south africa hazina timezone moja,

Na pia mwanga wa jua kwenye flat earth yao kwanini haufiki mbali
Mimi Kwa maoni yangu binafsi,. kutokana na observations za kutizama Kwa macho na kushirikisha akili:-
1. Dunia sio round-ball la namna hii 🌍.... Proof{There's no way maji yatastick kwenye round ball, hata gravitational haiwezi kushikilia maji kwenye round-ball}

2. Kwa kutumia Tu usafiri wa nchi kavu na majini(Not necessarily utumie Usafiri wa anga),.. utaweza kusafiri Dunia nzima na kugundua kwamba dunia haina shape ya namna hii ➑️🌍.

3. Dunia inaweza isiwe flat mstatili Kama meza,..lakini inaweza kuwa flat kama sahani.

4. Mwanga wa Jua kwenye flat earth,.hauwezi kumulika Dunia nzima Kwa wakati mmoja Kwasababu Dunia ni kubwa kuliko Jua......hii inapelekea mwanga wa Jua kuangaza upande fulani wa Dunia kwenye muda husika.(i.e Usiku na Mchana).

5. Dunia haizunguki,.Bali celestial bodies kama mwezi na jua ndiyo zinazunguka,. Dunia ime stick kwenye position Ile Ile...


Haya ni maoni yangu kwa kutumia uoni wa macho,.. without being influenced by anyone.
 
1. Bado hujajua vzr concept ya gravitational force. Ina act toward the centre of the earth. Sasa huo mfano wa round ball kutoshikilia maji kwani gravitational force yake Ina act toward the centre ya hiyo ball au downward?

2. Ship visibility pia unaweza kuingumziaje?

3. Sasa hata hiyo sahani inashikiliwa na nini?

4. Sawa, unaweza kuniambia jinsi Gani lunar/solar eclipses na lunar phases zinatokea (yaani mwezi kuonekana nusu au mzima).
 
1. Walio propose theory ya gravitational force wanasema ina act towards center ya hio ball na sio downward,...lakini hiyo theory kiuhalisia hata wewe unahisi ni kweli....? Kwamba maji nayo yameshikiliwa na gravitational force kwenye round-ball like this 🌍? Yani unaona hii emoji ➑️🌍 ilivyo ndiyo gravitational force inavyoshikilia maji according to hiyo theory... unaamini hivyo? {Ushawahi kuchunguza ukaona inawezekana?}

2. Kwenye ship visibility,. Kiuhalisia ni kwamba ukomo wa uoni wa macho yetu ndiyo yanafanya tuone kama Meli ina disappear{wengine wanasema hapo unapoona Meli ina disappear kuna curve kabisa kuthibitisha globe., hii si kweli Kwa upande wangu}, Kwasababu uoni wetu na hata vifaa tunavyotumia vina ukomo wa kuona,.. so hatuwezi kutumia Ship visibility kuthibitisha round-ball 🌍.

3. Kwani wewe unahisi Dunia inashikiliwa na nini mkuu?,..{ kwanza weka akilini kwamba sijasema gravitational force haipo Ila nimesema,.Hakuna uthibitisho kwamba gravitational force inaweza kuhold maji kwenye shape ya round-ball namna hii 🌍.....

4. Kuhusu lunar & solar eclipse......ipo hivi:-
Si unajua kwamba Jua na mwezi zinazunguka kwenye orbit? Sasa Jua na mwezi zinapokua kwenye mzunguko wao ikitokea Jua&Mwezi vime intercept kwenye huo mzunguko inapelekea kivuli >Eclipse{Solar/Lunar}πŸ’«.......yaani hizi bodies mbili kwenye mzunguko wao zenyewe(orbit πŸ’«) ikitokea Mwezi umeblock mwanga wa Jua ndiyo tunapata Solar eclipse....na ikitokea Jua limeblock mwanga wa mwezi ndiyo tunapata Lunar eclipse....so sidhani kama kwa maelezo hayo unaweza ukatumia eclipse(s) kuthibitisha globe Kwa kuwa Dunia yenyewe ipo fixed Bali hizo celestial bodies(Jua&mwezi) zinapofanya movements zikikutana ndiyo zinapelekea eclipse.
 
Kwanini flateathers wanakataa gravitational force:

Hawakuwa na matatizo yoyote na gravity hadi watu walipoanza kutumia kufutilia mbali Dunia kuwa duara. Baadaye, bila shaka ilibidi ivuke!

Ikiwa kitu chochote kinapinga Dunia kuwa duara, basi kinapaswa kuondoka.

Hawakuwa na matatizo yoyote na vitu vinavyovuta vitu vingine, na vitu vinavyovuta Dunia kwa sababu ya gravity, wangeweza tu kusema "hivyo ndivyo masi inavyofanya kazi."

Hivyo ndivyo ilivyokuwa na Mwezi. Mara tu wafuasi wa flat earth walipogundua kwamba watu wanaweza kutumia Mwezi kufutilia mbali dhana ya Dunia kuwa duara, kama vile kwa kutumia uthibitisho w
a eclipses hata Mwezi ulibidi uondoke. Bila shaka, wafuasi wa Dunia duara wanakataa Mwezi kwa njia tofauti; wengine husema ni hologramu, wengine husema ni ndogo na karibu, wengine husema ni duara kubwa ili kutudanganya, wakati wengine husema ni "sehemu ya dome." Hawa hawana sababu halisi ya kukataa Mwezi, isipokuwa kwamba inafutilia mbali wazo la Dunia kuwa duara.



Nina hakika kwamba wengi wa wafuasi wa Dunia duara wanaamini gravity lakini wanapaswa kuukataa wanapojadiliana na mtu wa kawaida, ili wasipoteze hoja. Wakipoteza hoja, basi wanaonekana kama watu wazimu wanaofikiri Dunia ni duara!



Hii pia ni mojawapo ya sababu wanatumia mbinu ya "whataboutism" mara kwa mara. Wanaitumia kuepuka kukabiliana na ukweli kwamba umefutilia mbali jambo walilosema. Tena, ili kuepuka kupoteza hoja.

Jibu kwa ukweli kwamba NASA ina picha? NASA wamo katika njama, na picha ni feki.

Televisheni ya Satellite? Vyombo vya habari wamo katika njama.

Google Earth. Ndiyo, umegundua, hata Google wamo katika njama.

Unaweza kuona duara la Dunia kutoka ndege? Makampuni ya ndege wamo katika njama, wanatengeneza madirisha yaliyopindika kwenye ndege kukudanganya.

Utalii wa anga? Madirisha bandia.

Wakati wa kwanza mwfuasi wa Dunia duara anapokwenda angani na kufanya kutembea angani? Nina hakika watasema ni upotoshaji wa akili, au vinginevyo kofia bandia kwenye mavazi ya anga.

Tena, watasema chochote kuepuka kupoteza hoja.
 
1. Sijajua we umeona shida nn hapo?
2. Kwann kibendera kionekane kama uoni wetu hafifu?
3. Sasa kama unaamini gravity ipo ina-act vipi?
4. Sasa kwenye hiyo Dunia kama sinia hiyo process inawezekana vipi? (Nadhani umeshaona jinsi flateathers walivyo illustrate hiyo flat earth)

Nakupa task, kwasabab ww unatumia normal observations
1. Angalia sunrise/set utaona Jua linaakisi kwenye mawingu Kwa chini(at the bottom of the clouds) kama hivi πŸ‘‡πŸ‘‡


2. Zingatia time zone katika miji tofauti

3. Lunar eclipse jinsi earth inavyo cast a round shadow on the moonπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hakuna cha kamba pale mwenye uelewa alielewa clinton alimaanisha nini, na aliongea vile sababu anajua watu hamuelewi. Ukisoma deep hio operation fishbowl ukaja ku link na clinton utapata mwanzo mzuri, sio clinton tu hata Elon anaongea sana.
Kwa hiyo mlikaa wapi na Elon mpaka akakueleza hayo? Unadhani wewe peke yako ndo umekutana na hizo theory za flat earthers? Wote tumekutana nazo Ila kwa kuwa hatukukariri darasani Ila tulielewa tukagoma kudanganyika
Nimefuatilia hii thread asilimia kubwa hujibu maswali ya watu....Ila unabase kwenye kushutumu Mara. Matrix Mara NASA ni kupinga wakati NASA ni abbreviation na kirefu chake kila mtu anakijua.

Hakuna anayepinga biblia hapa Mungu mwenyewe alituachia mafumbo ili tufanye research tuongeze maarifa..angetaka kutuweka wazi angeandika bila mafumbo kuwa dunia ni flat na hakuna kiumbe kitatoka nje.

Hizo operation zote ulizoweka hapo hakuna asiyezijua na malengo yake yamewekwa bayana ila kwa kuwa umeamua kuuacha ukweli na kwenda kuutafuta uongo ili kuiridhisha nafsi yako.
Unasema curvature tunayoiona ni shape ya lens ya macho...hivi unaijua shape ya lens ya macho kazi yake? Shape ya lens haiathiri umbo la kitu nikionacho Bali huathiri uelekeo wa mwanga nilijua mweupe physics tu kumbe hata biologyπŸ˜€
 
Hii nitakujibu ni uzi mrefu kidogo so huwa naandika taratibu maana lazima nikupe na prove, Nita Jitahidi soon niushushe.
Au unasubiri yule jamaa wa Twitter Exquisite_255 apost ndo upate maarifa ya kuja kujibu hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…