Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Alaska iliyopo Marekani kuna kipindi hupita hata miezi mitatu ikawa ni kama mchana tu...

Unaweza ukaelezea kwa hiyo nadharia ya dunia ni flat kuwa inatokeaje ?
Hata kwenye nadharia ya Round-ball ni ngumu, kuelezea kwanini situation hiyo inatokea..... Vipi unaweza kuelezea situation hiyo kwenye nadharia ya Round-ball, inayosema dunia inazunguka Jua kwa mwendo wa 107,000 kilometers Kwa saa?
 
1.Ukiwa mjinga, halafu hujui kuwa wewe mjinga, hilo ni jambo baya, lakini si baya sana, maana unaweza kukutana na mtu mjanja akakuelimisha.

2. Ukiwa mjinga, halafu unajua wewe mjinga, hilo ni jambo zuri, maana unaweza kufanya kazi kuuondoa ujinga wako.

3. Ukiwa mjinga, halafu unajiona wewe mjanja, watu wanakuelimisha unapinga, unatunga kila conspiracy theory kutetea ujinga wako, hilo ni tatizo kubwa sana, kwa sababu unakuwa mjinga asiyefundishika.

Ogopa sana kuwa katika hili kundi la tatu.
 
Nijibu hoja yako ya pili, mwezi uko karibu sana na dunia , na jua lilo mbali na vyote mwezi na dunia ndo maana mwezi unaweza block jua kutokea duniani.

Hata wewe hapo ulipo unaweza jaribu kwa kitu chochote ku block.
Sawa., Yaani kwamba hata mtu akiwa Duniani anaweza kutumia object fulani Ku block mwanga wa Jua,. ili tupate full solar eclipse?
 
Hata kwenye nadharia ya Round-ball ni ngumu, kuelezea kwanini situation hiyo inatokea..... Vipi unaweza kuelezea situation hiyo kwenye nadharia ya Round-ball, inayosema dunia inazunguka Jua kwa mwendo wa 107,000 kilometers Kwa saa?
Jibu swali usikimbie maswali,

Kama hauna majibu ni vyema ukasema hauna au haujui.


Na aliekwambia ni ngumu kuelezea kwa dunia ni fute nani ?? Ukomo wako wa kujua mambo ndio useme kwa ujumla kuwa ni ngumu kuwepo kwa majibu kuhusu hilo jambo ?
 
Jibu swali usikimbie maswali,

Kama hauna majibu ni vyema ukasema hauna au haujui.


Na aliekwambia ni ngumu kuelezea kwa dunia ni fute nani ?? Ukomo wako wa kujua mambo ndio useme kwa ujumla kuwa ni ngumu kuwepo kwa majibu kuhusu hilo jambo ?
Swali lako mbona nimelijibu, kwamba theory zote zina some weakness kwenye kuelezea hiyo situation ya Alaska,....tena atleast flat-earth theory inaweza kueleweka kwenye situation ya Alaska kuliko round-ball theory.

Shika hizi points muhimu:-
1. Flat earth theory model,...inasema Jua ndiyo linazunguka Dunia,.

2. Round-ball theory,. inasema Dunia ndiyo inazunguka Jua.

Sasa jiulize hivi,.
a. Kati ya Jua kuzunguka Dunia,(flat earth theory)

b. Na,. Dunia kuizunguka Jua (Round-ball theory)

Theory ipi Kati ya hizo inaweza kueleweka ikielezea situation ya Alaska??
 
Kwanza kabisa naposema ni Duara namaanisha ni ellipsoidal au geoid.
Ni kwa namba Gani hiyo Dunia tambarare ya Duara inaweza
Kwanza kabisa Dunia ni ellipsoidal.
Elezea jinsi Gani solar eclipse inaweza kutokea kwenye hiyo Dunia tambarare siyo kusema tu inawezekana.

1. Hii hoja yako ya kitoto sana, hapo ni swala la distance ya Jua na distance ya mwezi mpaka duniani. Hata kidole kinaweza kuficha mlima it depends na how close object ipo karibu na sehem ulipo relative Kwa kile inachokiblock.

2. Na ndio maana mwezi unabkock sehem flani tu duniani sio Dunia mzima.

Cha kushangaza hujajibu swaliπŸ˜„πŸ˜„ umekuja kubwabwaja tu
 
Hapo unakua hujanijibu swali langu wala kutolea maelezo swali langu, Nachotaka kufahamu mimi ni kwamba ( How ? ), Lengo langu unieleweshe,

Ndio maana tangu mwanzo nlisema ngoja nifanye kama naelewa kuwa dunia ni flat na unijibu maswali maswali nayokuuliza. ( Nmevua elimu yote ya kuwa dunia ni tufe )

Kwa maana hiyo nategemea majibu au maelezo kutoka kwako na sio uniulize mimi tena.
 
Inawezekana, nimekupa mfano wa kidole kuficha mlimaπŸ˜„
 
Sasa we unasema Dunia ni tambarare na huna hoja kuhusu utambarare wake Bali unachallenge tu kuhusu Dunia kuwa tufeπŸ˜„πŸ˜„. Nimekuuliza kuhusu eclipses umebwabwaja tu
 
Kwanza muulize yeye anaamini Dunia Inaumbo Gani Ili umbane vzr maana ameanza kusema theory zote zina weakness. Kwanza nani kamwambia Dunia kuwa kama tufe ni nadharia?πŸ˜„
 
Naona umeanza siasa, Jibu maswali yangu kwanza acha kuzunguka zunguka na kukwepa, Umenielewa vizuri ila unajifanya hujanielewa.
 
Hapo unakua hujanijibu swali langu wala kutolea maelezo swali langu, Nachotaka kufahamu mimi ni kwamba ( How ? ), Lengo langu unieleweshe,
Honestly Kwa upande wangu sina majibu on how Alaska ina experience Midnight sun kwenye kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja.....lakini kukosa majibu ya situation hiyo, sio proof tosha kwamba Dunia ni tufe.,

Labda,..Unielezee how situation hiyo ya Jimbo la Alaska inaweza kutokea kwenye Dunia Tufe inayolizunguka Jua..?!

Huenda nikaelimika kutoka kwako....
 
Nkimbana anakwepa maswali, Anaanza siasa πŸ˜…
Yap vitu ni complicated Kwa kiasi fulani,...na ndiyo maana maswali hayo unayosema umenibana Mimi....nikikugeuzia maswali hayo uelezee occurrence yake kwenye Dunia Tufe lnayolizunguka Jua,. sidhani kama utatoboa.
 
Huyu Kuna vitu vichache tu vinamchanganya kuhusu Dunia kuwa tufe, ila Hana point yoyote ya Dunia kuwa tambarare.
Yap kama ulivyosema kuna vitu vinanichanganya, ,....Kwa mfano elezea how Maji yanastick kwenye Tufe 🌍 linalozunguka.

Najua utakuja na kuingizia hoja ya gravity(ambayo probably umeikariri lakini huwezi ukaprove uwepo wake kwenye uhalisia),...

So, Apart from kile ulichofundishwa including gravity, unaweza kuelezea how Maji yanastick kwenye Tufe.?


Then, Justify kwanini Alaska na maeneo mengine yana experience midnight sun Kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili,... Kwenye model ya Dunia Tufe lnayolizunguka Jua kwa mwendo 107,000 kilometers per hour.

Nasubiri kujifunza toka kwako Mkuu,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…