Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Jiheshimu
 
Kwenye basic physics ya O'level nadhani unakupunga Cohesive and adhesive forces, Kuna maada zina kani kubwa ya uvutano kati ya molecules zake ,hiyo kani inaitwa cohesive force mfano ni Zebaki/mercury ndiyo yatumika katika thermometer sababu hailoweshi kioo
Adhesive forces ni pale kani ya uvutano kati ya molecules za element tofauti zinakuwa kubwa, mfano ni alcohol au maji,,,ndiyo mana maji yanalowanisha kioo na vitu vyengine kama tufe.
Lakini uzito wa molecules za maji unapoongezeka, zinavutwa na kani ya gravity na kudondoka chini...

Nikukumbushe tu, kadri mana inavyopungua ukubwa na kufika level za Atom ndipo zinapoacha kufuata sheria za basic physics na kuanza kufuata sheria za Quantam Physics...

Sasa hapo huajabu wake ni upi mpaka iwe moja ya seven wonders
 
Jiheshimu
So now NASA wanahusika na ulinzi, hivi jamani mpitie hata maana ya hiyo NASA na kujua kazi zake...
Hata katika nchi za kwanza kufika North na South poles,marekani hawapo.
So hata KIM naye anahusika kutudanganya...?
 
66,700 m/hr bado kuna 1,000 mph usihisi chochote?
Speed ya dunia ni dunia ina move pamoja na anga lake yaani atmosphere lake mpaka kwenye Space ndipo hapazunguuki so ukiwa Duniani huwezi his iyo movements kwasababu wewe unakuwa ndani ya hio movement na hakuna kitu ambacho kinakuwa kipo kinyume na hio movement ndio kiwe sababi ya wewe kuohisi hio movement Mfano hapo ulipokaa gari likija kukugonga kwa speed hio speed una experience kwasababu wewe ulikuwa static na eneo na vitu vilivyozunguka vyote static that way umeihisi speed ya gari.

Speed ya dunia ungeihisi endapo dunia inge move yenyewe tu bila anga lake upepo mkari ungekupiga na kupeperushwa kabisa kutokomea ila hilo anga nalo una move nalo within...sijui umeelewa
 
1.Enhe,haya kwanini watudanganye, Haya wakitudanganya Luna faida ipi kwao...?

2.So huko kwenye cha ya dunia, ukifika ukajirusha utaanguka...

3.Kwahiyo ni dunia tu ndiyo tambarare, celestial bodies nyingine zote kama nyota na Sayari ni tambarare.
 
Hata pyramids of Giza ni miongoni mwa seven wonders of the world,..uajabu wake ni upi?

Maji kustick kwenye round-ball ingekua ni fact,.. basi ingejumuishwa miongoni mwa seven wonders na watu wangeenda kushangaa results ya kitendo husika(kuyaona tu jinsi Maji yanavyostick kwenye round-ball) na sio process yake kama unavyojaribu kuhusisha the so called forces.
 
1.Enhe,haya kwanini watudanganye, Haya wakitudanganya Luna faida ipi kwao...?
Kwani wewe binafsi huwezi kutafiti na kujua umbo la Dunia,..mpaka unasema kwanini watudanganye? yaani kwamba kuna watu specific ndiyo wana mamlaka ya kusema kwamba Dunia ina umbo gani?
2.So huko kwenye cha ya dunia, ukifika ukajirusha utaanguka...
Kwanini unaamini ni lazima Dunia iwe na ncha? What if it's enclosed infinity system....yaani ipo hivi 👉🏼 kutoona ncha ya Dunia haiifanyi Dunia kuwa tufe.
3.Kwahiyo ni dunia tu ndiyo tambarare, celestial bodies nyingine zote kama nyota na Sayari ni tambarare.
Kwani,..unavyoona Dunia, Jua, Mwezi na Nyota nyingine zipo sawa?! Huoni kama Dunia ipo tofauti kabisa na Jua, Mwezi na Nyota nyingine.....Kwa mfano nenda kapande Mahindi au kaanzishe makazi kwenye Jua/mwezi then utaona hivyo vitu wala havifanani,.
 
Naona hujanipata bado,.ngoja nijaribu kuweka sawa.... kwenye mtazamo wa Einstein juu ya motion of the earth nilikua concerned na hapo aliposema "Whether the Earth is considered to be at rest and other celestial bodies move around it,.or the earth moves while other bodies are at rest is a matter of choice of reference frame...."


Sasa nilikua najiuliza kwahiyo hata Einstein alikua hana uhakika kama Dunia ipo at rest or inazunguka?!

Kama Mwanasayansi nguli Einstein alikua hana uhakika wewe Chosen Rich uhakika kwamba Dunia ipo kwenye motion umeutolea wapi? Hahh
 
Kwanini mfano wako umeutolea kwa Einstein pekee ? Na unadhani angekuwepo asingeleta majibu ya uhakika mpaka sasa ?

Swali la mwisho, ina maana wewe Reference zako ni za kutoka kwenye perception za watu ? ndio unazitumia kuhitimisha jambo ?
 
Anyways, Kaka mkubwa Elon Musk karusha Starlink zake na zimeonekana anga la Dar es laam masaa kadhaa yaliyopita vipi umeziona ??

Na je jamii ya Flat Earth mna mpango gani kuhusu project zinazohusu anga ?
 
Ndege inakimbia speed kali sana angani, Lakini huwezi kuhisi chochote ukiwa ndani.

Na sisi tuko ndani ya Dunia au nje ya Dunia? Ndege inakimbia speed ipi?, ukiwa ndani ya ndege ile movement unaifeel vzr kabisa na ukiangalia kwa kioo unaona mvt ya ndge mbona tofauti kwa Dunia inayozunguka kwa speed ya 66,700mph?
 
So now NASA wanahusika na ulinzi, hivi jamani mpitie hata maana ya hiyo NASA na kujua kazi zake...
Hata katika nchi za kwanza kufika North na South poles,marekani hawapo.
So hata KIM naye anahusika kutudanganya...?

Maana ya NASA ni kupinga, na ndo waanzilishi wa the big bang theory hawa wako nyuma ya kila kitu hata hizo unazoona Apollo ni project zao za kuendelea kutudanganya na kuficha uumbaji wa Mungu.
 

Dunia ina move na space yake [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwaakili zako na wewe unaamini huu uongo?? Hata mtoto wa lakwanza hawezi kukubali huu uongo cha ajabu mtu mzima unaona sawa.

Toka nje usiku saa8 huu ni muda ambao umetulia sana, utaweza kupata mwanga wa ukweli wa hii Dunia.
 

Wanaita “SEA LEVEL” sasa unawezaje kupata level kwenye Ball?
 
Anyways, Kaka mkubwa Elon Musk karusha Starlink zake na zimeonekana anga la Dar es laam masaa kadhaa yaliyopita vipi umeziona ??

Na je jamii ya Flat Earth mna mpango gani kuhusu project zinazohusu anga ?

Satellite zipo but sio kama mnavyoambiwa ziko wa orbit na internet zaidi ya 90% inatumia undersea cable. Ukishajua ukweli wa hii Dunia mambo mengine hata hayawezi kukupa shida,
 
Wapi nimeandika Dunia ina move na Space yake, kwani dunia ina space....kumbe kuootezeana muda humu.
 
Kwa this kind of comment,niwie radhi ila sidhani kama unaijua physics, yan hapo umegewa simple concepts za physics ambazo katila maisha ya kila siku unaziishi...usiweke philosophy kwenye physics.
Yan hapa naona wewe utakuwa ulisoma Arts unaleta sanaa kwenye Sayansi.
 
Sawa,... Kwa kuwa unaijua vizuri Physics tafadhali tuambie,....
1. Physics inasema nini kuhusu curvature of the earth,.. where is it then?

2. Unaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba Dunia ina rotate,...
 
1.Sasa mimi nitumie mda wangu kufanya kwenye kila jambo duniani?
Ndiyo mana kuna fani nyingi za sayansi mkuu,lila mtu atatafiti kwenye jambo lake, ukimaliza unawaletea watu hesabu mezani.

Sawa kupanga siyo kibaya,lakini hauna hata hoja nzito ulizoweka mezani mpaka sasa .Ukiulizwa maswali unajizungusha kujibu.

2.Duh,kwahyo dunia ni tambarare isiyo na ncha na hatuambiwi tu.
(Yan tena umejibu, huku ukiwa hauna uhakika)...

3.Nimeongelea kwenye maumbo ya other celestial bodies na siyo its constituent particles.
Je,sayari nyingine zote nazo ni flat, wanatudanganya tu.?
 
Wanaita “SEA LEVEL” sasa unawezaje kupata level kwenye Ball?
Tatizo imani ikizidi kichwani,.hata macho yanaingiwa na upofu,. Watu wapo tayari kuitupa mbali logic ili tu wabaki na walichoaminishwa tokea wanapata akili.

Ukiwauliza sea level inapatikanaje kwenye round-ball watasema Dunia sio complete TUFE,..ila picha wanatuletea hizi 👉🏼🌍 complete round-ball,.. Inashangaza 🙌🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…