Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Okay,.hapo ni sawa na kusema Dunia sio ball-shaped as pictured 👉🏼🌍,..si ndiyo? Maana hiyo picha hapo haionyeshi oblate spheroid.

Ukishasema Dunia sio ball-shaped atleast unakaribia kwenye ukweli sasa....maana picha zinazotolewa hazionyeshi dalili yoyote ya kuwa in alignment with earth's shape.
 
But, si ndege anatumia mabawa ku-push hewa chini (ana exerts force against gravity)...au ndege anapaa tu bila mabawa...
Yan nayo hii ni hoja...?

So napo mnakataa uwepo wa Gravity ama?
 
Hivi unasoma na kuelewa unachoandikiwa kweli...
Kwahyo kama siyo perfect sphere ina maana ni flat,
Kwahyo since yai siyo perfect sphere ina maana yai ni Flat...?
 
Hivi unasoma na kuelewa unachoandikiwa kweli...
Kwahyo kama siyo perfect sphere ina maana ni flat,
Kwahyo since yai siyo perfect sphere ina maana yai ni Flat...?
Wewe ndiyo huelewi unachoandikiwa.... relax kisha rudia tena kusoma kama utaona nimetaja neno flat kwenye post uliyoquote....?

au umeamua kujiongeza mwenyewe?
 
Hapo ulipo ndio curvature.
Dunia sio perfect sphere ni flat plane ndiyo maana huwezi kuona the so called curvature....hizo nyingine ni una force Tu kujipa matumaini ya Dunia Tufe.

Na Dunia nzima hakuna bara lolote ambalo lipo upside down...Dunia nzima tunaishi kwenye uso wa Dunia, motionless flat plane...💯
 
Mbona unatumia nguvu kubwa kutulazimisha hii hoja yako?? Una maslahi gani endapo ikiwa duara au sio duara??
 
Siyo wewe ulisema dunia flat infinity ama?
Now unasema ina kingo?
Nikakuuliza je, ukifika kwenye kingo waanguka ama?
Na
Kuhusu Curvature nimekwambia usome theories za Copernicus, ukimaliza uje useme wapi haukubaliani nako...
 
So kwakuwa haujawahi kuona Plasmodium, Bacteria au Virus wakishambulia seli za vyumba hai, ina maana havipo....?
 
So kwakuwa haujawahi kuona Plasmodium, Bacteria au Virus wakishambulia seli za vyumba hai, ina maana havipo....?
Unafananisha cases tofauti,.. Curvature of the earth Mimi binafsi sijawahi kuiona ila wahusika wanaodai kwamba ipo wanasema inawezekana kuiona.... that's why nimeomba japo picha/video...na kuna mdau hapo Sea Beast kaahidi atatuma video...so relax Mkuu.
 
The "flat Earth" phenomena is an awakening, it is not a social movement, not a trivial debate about the shape of Earth, not a psy-op, and not a ridiculous internet cult. It marks a profound shift in human consciousness. It is a reset of the individual mind to detach from the orthodox lies, and to align with the pursuit of Truth. It is THE most important step in the undoing of the spells we have been under for hundreds of years.

For those who can break through the globe indoctrination, all else becomes crystal clear. I ask people to try hard, to see beyond what they presume, to unlearn, and to be courageous.
 
So,.wewe ni kama Mimi hujawahi kushuhudia Maji yaki bend down to the earth's curve? Yes/No?

Maana ni maelezo tu hayo,.au imekaaje..
Bro ,inawezekana kwenye fani inayokupa mlo u mtaalam kweli kweli na nisikufikie huko.
Lakini kwa fasta fasta bro, Sayansi inakupiga chenga, yani siyo Geography,Physics, Cartography wala Geology...

Nakupa ushauri wa bure, kama Tasnia haujui au kuelewa useme and siyo kubisha wakati haujasomea...
 
Mkuu,.. hakuna ambae hajasoma hata Mimi nimesoma kuhusu Dunia Tufe kama wewe it's just nimeamua kufikiria on my own....


Sasa sijui ni kitu gani kinachofanya uone eti watu hawajasoma kisa kutofautiana mitazamo,..kama umeamua kukubaliana na theories ulizosoma without questioning 100%,. That's good for you 🤝🏼
 
Ungesoma usingekua na maswali kama ( Curvature ya Dunia iko wapi )

Yani unauliza location ya Curvature [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ungesoma usingekua na maswali kama ( Curvature ya Dunia iko wapi )

Yani unauliza location ya Curvature [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahh,..umesahau kama kuna picha ulituma hapa kuonyesha curvature of the earth? Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu.

Take a look at the impossi-ball👇🏼,...Then laugh 😂

 
Hahh,..umesahau kama kuna picha ulituma hapa kuonyesha curvature of the earth? Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu.

Take a look at the impossi-ball[emoji1370],...Then laugh [emoji23]

View attachment 2918606
Unachekesha wewe jamaa [emoji23][emoji23]


Ina maana ile picha ulivyoelewa wewe "Ni location ambapo curvature ( Inapatikana )???"
Yani hivyo ndivyo ulivyoelewa ??? Mwalimu wako alipata tabu sana.





Na kuhusu hiyo picha ya ndege kwenye picha yako, Kumbe kuna ndege kubwa kiasi hicho yani ukubwa wake ni robo ya bara la America ya kusini hahaha
 
1. Sawa,..ulikusudia nini kutuma Ile picha?

2. Hiyo picha NI description tu ya jinsi Ndege zinavyopaswa kusafiri endapo Dunia ni Tufe....lakini kiuhalisia hazisafiri hivyo Kwa kuwa Dunia flat plane.
 
1. Sawa,..ulikusudia nini kutuma Ile picha?

2. Hiyo picha NI description tu ya jinsi Ndege zinavyopaswa kusafiri endapo Dunia ni Tufe....lakini kiuhalisia hazisafiri hivyo Kwa kuwa Dunia flat plane.
Description iendane na uhalisia ili kuleta maana bila kupotosha.

Yani huo mchoro ndege inaonekana ipo kwenye space, Imetoka kabisa kwenye anga letu ( atmosphere )



Alafu nkuulize unafahamu kama kwenye space hakuna juu wala chini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…