WACHACHE WATAKUELEWAWazungu wanapenda saana kusoma vitabu ndio maana wana akili saana
Kuna siri kubwa katika kusoma...
Kimsingi bado ni njia nyingine hiyo ya kuongeza maarifa.Mimi hua sisomi vitabu niwe mkweli tu ila maarifa/elimu...napata kupitia internet kwa kusoma mambo mbalimbali au Youtube.
Mkuu, apo=hapoUkisema apana ndugu yangu apo ana kupotezea bila kujua kuwa amedharau maarifa
Kumbuka hata Mwalimu aliye mfundisha Bill gate jinsi ya kutumia computer yeye hakuwa tajiri kama bill gate
Jifunze kusoma vitabu saana utanishuru