kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Wazungu wanapenda saana kusoma vitabu ndio maana wana akili sana.
Kuna siri kubwa katika kusoma.
Lakini mtu mweusi ukimpa kitabu alafu ukamwambia kitabu hiki kinaweza kufanya uwe tajiri mkubwa
Anakuuliza swali je aliye andika kitabu hiki yeye ni tajiri.
Ukisema apana ndugu yangu apo ana kupotezea bila kujua kuwa amedharau maarifa.
Kumbuka hata Mwalimu aliye mfundisha Bill gate jinsi ya kutumia computer yeye hakuwa tajiri kama Bill Gate.
Jifunze kusoma vitabu sana utanishuru.