Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

Status
Not open for further replies.
Heshima ni ya bure mkuu. Hapo unatutukana watanzania wote ikiwamo wewe mmojawapo. Nawe ni mgonjwa wa ajabu.

hehehehe samahani mkuu. jamaa kaniudhi mno. anawadharau wanaofundisha ujasiriamali hapa tz kwa sababu tu yeye kaenda kusoma finland na si ajabu ni kichuo cha kipuuzi tu cha mtaani. na anaona anajiona kuwa tactics zake ni bora kuliko za wengine huku yeye mwenyewe anafanya hicho hicho.
 
Mi sitoi theory ila ni experience yangu kama mfanyabiashara. Halafu pia nadhani sisi watanzania ni watu wazuri sana, naomba usiwatukane watz kwa kuwasema wana ugonjwa wa ajabu. Na wewe si mtz so una ugonjwa wa ajabu???

ulipaswa kutowaponda kisha ukatangaza kitabu chako style ile ile unayoiona kuwa haina tija, nawe unaitumia hiyo hiyo.
 
Sawa mkuu.Kuhusu walimu wa ujasiriamali Tanzania kwa kweli uko sahihi..
Hiyo copy naisi itakua nzuri sana
 

Ndio amekuudhi ila na wewe umetumia lugha sio nzuri sana. Pia umeita chuo cha mwenzio ni cha kipuuzi. Mi nadhani tuweke fikra zetu katika kujikomboa na umaskini na kuacha kukosoana kunakopoteza muda. Na hii ndio UKAWA wanaifanya na kupoteza muda mpaka tunashindwa kupata katiba nzuri. Na hiyo itafanya katiba iwe ina favor CCM tu maana wao ndio walibaki ndani. Sasa huoni kwa mentality yao wanawafaidisha CCM badala ya wao pia?
 
Bwana Biashara2000 mimi nimekuelewa, lakini pamoja na maelezo yako mengi na mazuri ila yamekuwa na mapungufu ya kuwashawishi wasomaji. Ungetuwekea dondo kidogo za kitabu chako au chapter 1 au 2 ambao utaonyesha ubora wa kitabu chako na kukitofautisha na vingine Watanzania vitabu tunanunua sana hata vya laki au na zaidi, maneno yako tu hayawezi kutushawishi. Alafu hawa walimu wa ujasiliamari tusiwabeze wengi wao wamefanya kazi nzuri japo bado tunayo safari ndefu.
 
wewe unataka kuwasaidia watanzania ki~CCM tumekupata! if u want to help tzs help them and advise freely 'cause wat u do is the same to other con~men teach show with one heart
 

Msimuandame mwenzenu. Watakaotaka kununua watanunua, wasiotaka hawatanunua. Ila hiyo inaonekana kama vile hamna pesa mnatafuta tu kisingizio
 
wewe unataka kuwasaidia watanzania ki~CCM tumekupata! if u want to help tzs help them and advise freely 'cause wat u do is the same to other con~men teach show with one heart

jina lako linafanana na ubora wa maelezo yako
 
Tapeli tuu huyu mkuu

Mimi mwenyewe siku zote nimekuwa na doubt na hawa watu wanaotangaza biashara zao humu jamii forum. Ila kutokana na maelezo ya huyu mdau niliamua tu niitoe hiyo 15,000 potelea mbali, ila baada ya kukisoma hicho kitabu chake nikaona ni information ambazo ziko tofauti na info mbalimbali zilizoko out there. Mimi nakushauri jaribu kununua naamini nawe utabarikiwa.
 
tunashukuru kwa utangulizi wako wa njia 4, hujaelezea jinsi ya kulipa ili nipate e-book.
 
tunashukuru kwa utangulizi wako wa njia 4, hujaelezea jinsi ya kulipa ili nipate e-book.

unakuwa online then unanitumia 15,000 kwa mpesa au tigopesa kwa 0758 308193. Nami nakutumia papo hapo
 

Hongera zako
 

consolata2000 na biashara2000,,mnaonekana nyie kampuni 1,,wale wale
 

ujasiriamali juu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…