Mbona watu wengu humu wameshare experience za mafanikio yao na jinsi walivyopitia changamoto nyingi hadi kufanikiwa. Kuna watu wana moyo wa kushare tena bure na wananifaisha jamii nzima. Kuna mkuu mmoja (skumbuki jina nahisi ni malila)hapa ameelezea harakati za shamba lake huko tangu ameanza, amefayaje, amejifunza nini, anawaasa nini wengine wakitaka kujaribu...anaweka hadi picha za mifugo na shamba . Am sure kwa selfless spirit hiyo amebarikiwa sana.
Sasa Iweje mwenzetu kutoa tu experiece unadai 15,0000???? reading throug the lines You are no different to them. Usinyooshee wenzio vidole - ur the same.