Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

Status
Not open for further replies.
PAMOJA na kudhani umepata elimu sahihi Finland, bado huwezi kutofautisha kati ya mjasiriamali na mfanyabiashara, kwa kusaidia tu,

kila mjasiriamali ni mfanyabiashara lakini c kila mfanyabiashara ni mjasiriamali...

Pia, nadhani nawe ni miongoni mwa wasiojua mbinu za biashara japo unadai umesoma nje na kuwadharau waliosoma ndani, hakuna mbinu ya biashara ya kulumbana na mpinzani kama ufanyavyo wewe, unaponda wanaotoa elimu kama utoayo wewe ili kuwaaminisha watu kuwa walipo c sahihi, nadhani ungeboresha kwako kwa kutumia weaknesses zao ili watu wakiona huduma yako nzuri wajilete na c kusema wanadanganywa au ulitaka nao wafundishe kama ulivyojifunza nje? ubunifu ndg ni muhimu otherwise, utabaki kujiproud na elimu yako ya nje ambayo yaweza kuwa ni certificate tu, baadhi ya hao unaosema wanadanganya wametoka nje kuchukua elimu zao za juu but wanatumia mbinu za kijasiriamali kushika soko na c lugha za kejeli. unadhan kitabu chako cha kumi na tano elf, kitaweza kumaliza changamoto zote? KASOME TENA.
 
Pdf za kiyosaki zinauzwa babu. We unafanya piracy. Nyie ndo mnaorudisha nyuma wasanii
Hahaha jamaa anatoa bure uongo,hata ukimtumia inbox tu anakujibu na kukusaidia shida yako
 
OFA MAALUM KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI: Ukinunua kitabu hiki cha Siri kuu 4 za ukasiriamali, utapata kitabu kimoja bure kama ofa, aidha cha jinsi ya kufanya kilimo cha greenhouse au cha jinsi ya kutengeneza mkaa wa kisasa. Chaguo lako. Ofa hii itakwisha tarehe 30.06
 
hapa kuna tatizo kidogo,kwa nini hizo njia nne mkuu huzitaji sasa? Taja hizo njia nne, kisha wanaotaka maelezo zaidi watakufuata. Kinyume na hivyo, nashawishika kuamini kwamba hukuwa na mpango wa kusaidia.

Kupunguza malumbano, zitaje hizo njia nne.

La pili, kama kila mtu atataka alipwe kwa kile alichonacho/au atakachochangia jamvi letu hili litakosa maana na kujifia. Kupitia jamvi hili watu wengi wanapona na bado watoa ujuzi wao bure Mungu anawaona huko huko waliko.
 
Pdf za kiyosaki zinauzwa babu. We unafanya piracy. Nyie ndo mnaorudisha nyuma wasanii

wakulaumiwa aliyeweka youtube c atakae download nenda youtube andika richie daddy robert kiyosak halafu uniambie hayo material yanayotoka you tube ni illigal wezenu wana mda wao wakisharudisha pesa yake wana achia kama msaada wewe hauna tofauti na wasanii wa bongo wana upload manyimbo yao kwenye blogs watu wakipakua anaanza kushangaa...... tusimlaum aliyeokota tumlaumu aliyetupa kwa kutokuwa mwangalifu
 

Nimeku PM
 
Anazingua tu huyo, ndo walewale, hizo njia huzitaji unataka kutuuzia soft copy pacpo kuona yaliyomo
 
naomba utume hizo pdf za poor dad rich dad, nazitafuta sana mkuu
 

Ndugu niongezee kidogo kutoka ushauri ulioupata kutoka kwa kichwa boga.
Inaleta shida kidogo kwa wewe ulieanza na majigambo ya elimu yako ya nje tena ya biashara ilihali unashindwa kabisa kutofautisha kati ya neno mfanya biashara na mjasirialiamali.
Nafahamu si wewe tu ila ni wengi lakini tatizo linakuja pale wewe unapo dharau vya ndani na kuvikweza vya nje,sasa ni bora basi ungethibitisha hilo kwa vitendo ila ni dhahiri kwamba licha ya hio taaluma yako ya finland wewe bado ni mchanga sana kwenye elimu ya ujasiriamali.
Mimi nina elimu ya hapa hapa bongo changanyikeni ila ngoja nikupe faida na elimu yako ya finland kwanini kichwa boga anakwambia kwamba mtu yeyote anaweza kua mfanya biashara ila si kila mtu anaweza kua mjasiriamali.
Mjasiriamali ni mtu mwenye taaluma ya ujasiriamali bali mfanya biashara ni mtu anaefanya biashara pasipo kua na taaluma katika biashara na hapo ndipo unapoambiwa kwamba si kila mtu anaweza kua mjasiriamali.Ziko theory mbali mbali ambazo zinathibitisha pia kwamba wapo wenye intreprenurial skills kwakuzaliwa mfano most of chaga tz,kikuyu Kenya,Ibo Kenya etc.
Hivyo mjasiriamali si mfanya biashara mdogo kama unavyo wapotosha watu bali ni mtu mwenye taaluma kwenye biashara.
Kama unahoja unakaribishwa ila si vema kudharau vya ndani ilihali wewe umesoma nje lakini hukuelimika.
 

Mimi sibishani na wewe wala sina sababu hiyo. Ubora wa comment zako tu inaonesha elimu uliyopata haijakusaidia kubadilisha mentality yako iliyokuwa haijakuwa civilized. Comment za kushambulia na kutukana inaonyesha elimu uliyopata haikukusaidia. Ungewaacha wengine walionania ya kujifunza watumie huo mkopo uliotumia kusomea, labda wao wangeleta tofauti. So una uhuru wa kusema unalotaka.
 
Kwa watu wote wanaotembelea posts zangu. Mimi ninachojali ni kuhusu watu wote wanaokuwa wamefaidika na wanaonipigia kunieleza kuwa mafunzo na vitabu vyangu vimeleta mabadiliko na mafanikio katika maisha yao. Hicho ndio kitu kinachonipa furaha. Kwa wale wenye negative thinking na wanaopenda kukosoa wenzao pasipo sababu za msingi, mi nasema kuwa una uhuru na uko katika nchi huru tokea 1961 una uhuru wa kusema chochote, haimaanishi mimi nitajali au kusoma posts zinazowakashifu wanaJF wengine au ku kashifu their intelligence. Kila mtu ana uhuru wa kusema chochote, ndio maana nawapa credit waanzilishi wa forums hizi. Wamefasnya kazi kubwa kuwapa wasio na ufahamu nafasi ya kuongea.

Nawapongeza wote mlioamua kuachana na umaskini na kuamua kujiendeleza. Hata Yesu alisema huwezi kumridhisha kila mtu. We fanya ualoamini. Nashukuru kwa support yenu na mambo mazuri yanakuja.
 

Ama kweli mkuki kwa ngurue,hivi umesoma vizur ulichokiandika kama kinawatendea haki wanaoendesha elemu za ujasiriliamali hapa tz?rudia kusoma tena uone jinsi ulivyowakandia kisa tu wewe umesoma finland,mimi nime comment kulingana na comment yako,ver sor kama nimekukwaza mkuu inawezekana ni matatizo yakusoma changanyikeni hapa bongo huenda ningepata elimu finland isingekua hivyo.
 

well said. huyu hana jipya anataka kuuza kitabu. AKASOME TENA
 
Katika Uzi zilizowahi kuniboa hii in namba moja. mtoa maada kuona wabongo maboya sana.apeleke huko kitabu chake.Luna ebooks kibao nzuri na ni bureeeee!
 
Raisi wetu mmoja mstaafu aliwahi kusema miaka ya nyuma kuwa vijana wengi wa tz wamekuwa wakibanwa socially hivyo anapopata nafasi ya uhuru wa kutoa maoni anaona ndio kapewa nafasi ya kutolea maasira yake kwa wengine. Watu wengi umaskini unawakaba na wanakuwa na stress pamoja na depression hivyo anahitaji amkashifu mtu ili ajisikie vizuri. Mwisho wa siku anabaki na umaskini na depression yake.

Anapotokea mtu anajaribu kusaidia wengine haijalishi kwa njia gani, inabidi apewe ushirikiano. Yesu alisema asiyefanya kazi na asile. Tumieni fursa hizi kujifunza na kuondokana na umaskini wetu maana tunaishi mara 1 tu. Hongera bwana Biashara2000 watu wengi wanaonekana kukukubali ila wachache wanabaki na maisha yao ya aina ile ile siku nenda rudi.
 

Well said
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…