Siri leo moja kati ya 77 ili mpenzi wako unayemtaka akuoe

Siri leo moja kati ya 77 ili mpenzi wako unayemtaka akuoe

Aisee we jamaa Umeonge ukweli mtupu, Mimi pia ni muhanga wa hii k2, my Girlfriend(japo hatuja achana) alisoma mzumbe, Alipo maliza ndo tukakutana tuka anza mahusiano, kipindi cha mwanzoni mwa mahusiano yetu I loved her to the fullest, yaaani ilikua ilee deep love.
Nilimpenda sana sana na nilipanga ni muoe.
Sasa alikua ana katabia kila siku ananipigia stori za ex boyfriend wake wa chuo, nilikua nampenda sana sana. Ila hii tabia nilikua siipendi.Yaani hata humuulizi bi dada anafunguka tuu automatically.
Yaani kila nnachomfanyia yy anakumbushia ki2 kama hko au kinachofanana na hko ambacho ex wake alikua anamfanyia.
Alikua anajisahau sana.
Huezi amini mpaka tukiingia kene mgahawa kula, utackia analeta stori za exboy wake walivyokua wanaenda kene mgahawa kipindi wako chuo.
Hii k2 iliniharibu kisaikolojia kabisa, Sikuwah kumpenda tena the way i dd in the first place.
Haujakosea wadada sometimes hua wanaponzwa na midomo yao wenyewe.
Imeniharibu kisaikolojia To the maxmum.
Kipindi namtokea nilikua namuona High value sana sana, I was proud of her kila sekunde kila dakika.na nilikua nimepanga nije kumuoa Kama mungu akisaidia, ila sentensi alizokua anaongea zilinifanya nimuone kumbe ni wa kawaida sana tofauti na value nnayo mpa.kila sentensi aloongea kuhusu Ex wake haijawah kunitoka akilini, ameniharibu kisaikolojia sidhani kama nitakuja kuwa sawa tena.
Words are so powerfull.
Afu nampenda hadi nimeshindwa kumuacha, hua sometimes i wish i can Un do things kiukweli.Nicngekutana nae kabisa.
Niliwahi kumuambia hzi v2 zako na Ex wako mm its non of my business so usiwe unanimbia ila Kanajisahu kanaropoka tena.
Namuomba mungu anipe ujasiri wa kumuacha, I love her and i hate her at the same. Yaani hata nikimuoa cdhani kama nitakuja kumpa tena ile value ya mwanzoni.Ni hatari.
Kwa mwandiko huu hata usipomuacha lazima yeye akuache tu.Ex wake alijua kuandika vizuri kuliko wewe so lazima amkumbuke.
 
Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
 
Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
Kwanini ulimuuliza...? Wakati hukuweza kustahimili jibu...?
 
leo acha nilivamie hili jukwaa mana kuna binti yupo kwenye drip ya kutoa sumu mwilin. nitaruka kwenye hoja moja kwa moja. kati ya mambo dada zetu hawapati sabab ya msingi ni kwanini wapenz wao wanaingia mitini wakat mambo yalikuwa mswano kwa level ya kuoana?
sababu zilishatajwa nyingi. mimi natoa siri mojawapo kwa akina dada.
unapokuwa kwenye mapenzi mazito mna tabia ya kuwa wawazi mno kwa wanaume wenu mkiamini yalishapita mnaganga na yajayo. amini nakuambieni kiwango cha wivu wa mwananume kiko juu kias kwamba ukweli wako kuhusu ex na mliyopata kufanyiana, kubakwa, bikra ilivyotolewa, ndugu zako na ndoa zao, n.k vinamwingia sana akilini na kumtafuna kias kwamba anaanza kutafuta pa kutokea. akiamin au umeshakubuhu, au muhanga kisaikolojia na hataki mlemavu wa kimapenz, au kwenu mko vile! habar ya yalishapita unayo wewe tu. jiweke katika ukurasa ambao anayetaka uwe mke wake ajihisi yeye ndo mkubwa na mjuvi wa hii fani. kana kwamba umejitunza kweli. aamini amepata sio amepatwa. SIO KILA SIRI YA YALIYOPITA UMSHIRIKISHE MPENZ WAKO WA SASA!
karibun nakuja na siri nyingine ya mwanamke anayetaman kuolewa kujifanya anajua sana mambo ya chumban tena dhidi ya mme mtarajiwa!
Wadada na wakusikie! Historia za nyuma zinatuvuruga wanaume!!! Kaa nazo mwenyewe, hata nikikuuliza jitahidi kuchuja cha kuniambia!
 
Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulimuuliza ili iweje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulimuuliza ili iweje
kujua km zimo au kopo. muulize male ndo utajua maana halis ya majibu yaliyochujwa. (hapa namaanisha wanaume sio wavulana)
 
UmeoNgea point kubwa sana lakini pia lazima ajue asipoongea kabisa napo haina picha nzuri kwahiyo inabidi awe hapo kati kati tena kijanja kweli

Ila kumuelezea mwanaume past yako ni kujikwamisha tu tena sio kdg ni kujikwamisha sanaaaaaa achana na quote za mitandaoni eti kama anakupenda atapenda na past yako, bullshit.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulimuuliza ili iweje

Tunaumzia ili tukushushe thamani tukupe ile unayostahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Trust me wanaume wanauliza swali hili ili wakushushe thamani au wajipe matumaini hawajauziwa mbuzi kwenye gunia..

Sasa bora uwaponde tu hao ex wako na kusimulia mabaya yao
 
Itokee akusimulie "Kaka Smart911 kuna ex wangu aliwahi nila ndogo sikupenda basi tu sikua nacha kumfanya afu ukawa ndo mchezo wake"[emoji2]
Kwa sisi wajuzi wa mambo hayo tunajua kwamba hiyo ni indirect massage ya kua na ww unaweza kupita huo mlango maana uko wazi ni hiari yako tu
 
Nimeandika hapo juu kwamba nilikuta sms chafu kwenye sms yake kwa hiyo ni wazi sikuwa mwenyewe ingawa wakati ananisimulia hizo past zake alinambia kaamua kutulia na mimi ndio maana kaona anambie hayo yote.
Basi alikuwa anamaanisha kukuonesha kuwa yeye sio wa ivi ivi wanamtaka kama maji ya kisima cha kijiji
 
Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
Daah nimecheka kinouma[emoji28] mkuu, msipende kujuaga background za watu kabisa.

Waswahili husema ukitaka kumla bata uache kumchunguza la hivyo utaghairi
 
Kwa kawaida wanaume tunataka Kua mtu wa kwanza kupendwa na mwanamke unayekua nae, ilhali wanawake wanataka Kua mpenzi wa mwisho kabisa kwa mtu wake yani Jamaa awe ndio kafika.

Sasa balaa ndio hilo mwanamke akiongea past relations hua zinatufanya tuhisi anawezajikuta anapasha Kiporo na ex wake
 
Kama huna kifua usitake kujua ukweli. Kila mtu akiamua simulia historia yake halisi kea mpenziwe hali itakuwa si hali
 
Back
Top Bottom