Kwa mwandiko huu hata usipomuacha lazima yeye akuache tu.Ex wake alijua kuandika vizuri kuliko wewe so lazima amkumbuke.Aisee we jamaa Umeonge ukweli mtupu, Mimi pia ni muhanga wa hii k2, my Girlfriend(japo hatuja achana) alisoma mzumbe, Alipo maliza ndo tukakutana tuka anza mahusiano, kipindi cha mwanzoni mwa mahusiano yetu I loved her to the fullest, yaaani ilikua ilee deep love.
Nilimpenda sana sana na nilipanga ni muoe.
Sasa alikua ana katabia kila siku ananipigia stori za ex boyfriend wake wa chuo, nilikua nampenda sana sana. Ila hii tabia nilikua siipendi.Yaani hata humuulizi bi dada anafunguka tuu automatically.
Yaani kila nnachomfanyia yy anakumbushia ki2 kama hko au kinachofanana na hko ambacho ex wake alikua anamfanyia.
Alikua anajisahau sana.
Huezi amini mpaka tukiingia kene mgahawa kula, utackia analeta stori za exboy wake walivyokua wanaenda kene mgahawa kipindi wako chuo.
Hii k2 iliniharibu kisaikolojia kabisa, Sikuwah kumpenda tena the way i dd in the first place.
Haujakosea wadada sometimes hua wanaponzwa na midomo yao wenyewe.
Imeniharibu kisaikolojia To the maxmum.
Kipindi namtokea nilikua namuona High value sana sana, I was proud of her kila sekunde kila dakika.na nilikua nimepanga nije kumuoa Kama mungu akisaidia, ila sentensi alizokua anaongea zilinifanya nimuone kumbe ni wa kawaida sana tofauti na value nnayo mpa.kila sentensi aloongea kuhusu Ex wake haijawah kunitoka akilini, ameniharibu kisaikolojia sidhani kama nitakuja kuwa sawa tena.
Words are so powerfull.
Afu nampenda hadi nimeshindwa kumuacha, hua sometimes i wish i can Un do things kiukweli.Nicngekutana nae kabisa.
Niliwahi kumuambia hzi v2 zako na Ex wako mm its non of my business so usiwe unanimbia ila Kanajisahu kanaropoka tena.
Namuomba mungu anipe ujasiri wa kumuacha, I love her and i hate her at the same. Yaani hata nikimuoa cdhani kama nitakuja kumpa tena ile value ya mwanzoni.Ni hatari.
Kwanini ulimuuliza...? Wakati hukuweza kustahimili jibu...?Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
Dr Ndodi ...Anaweza akawa na jibuKwan wasabato wanasemaje kuhusu hili?
Wadada na wakusikie! Historia za nyuma zinatuvuruga wanaume!!! Kaa nazo mwenyewe, hata nikikuuliza jitahidi kuchuja cha kuniambia!leo acha nilivamie hili jukwaa mana kuna binti yupo kwenye drip ya kutoa sumu mwilin. nitaruka kwenye hoja moja kwa moja. kati ya mambo dada zetu hawapati sabab ya msingi ni kwanini wapenz wao wanaingia mitini wakat mambo yalikuwa mswano kwa level ya kuoana?
sababu zilishatajwa nyingi. mimi natoa siri mojawapo kwa akina dada.
unapokuwa kwenye mapenzi mazito mna tabia ya kuwa wawazi mno kwa wanaume wenu mkiamini yalishapita mnaganga na yajayo. amini nakuambieni kiwango cha wivu wa mwananume kiko juu kias kwamba ukweli wako kuhusu ex na mliyopata kufanyiana, kubakwa, bikra ilivyotolewa, ndugu zako na ndoa zao, n.k vinamwingia sana akilini na kumtafuna kias kwamba anaanza kutafuta pa kutokea. akiamin au umeshakubuhu, au muhanga kisaikolojia na hataki mlemavu wa kimapenz, au kwenu mko vile! habar ya yalishapita unayo wewe tu. jiweke katika ukurasa ambao anayetaka uwe mke wake ajihisi yeye ndo mkubwa na mjuvi wa hii fani. kana kwamba umejitunza kweli. aamini amepata sio amepatwa. SIO KILA SIRI YA YALIYOPITA UMSHIRIKISHE MPENZ WAKO WA SASA!
karibun nakuja na siri nyingine ya mwanamke anayetaman kuolewa kujifanya anajua sana mambo ya chumban tena dhidi ya mme mtarajiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulimuuliza ili iwejeWambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu
Kaka ni hatari yani kila ukikaa unakumbuka alichokwambia kuhusu past zake unachoka kabisa
Itokee akusimulie "Kaka Smart911 kuna ex wangu aliwahi nila ndogo sikupenda basi tu sikua nacha kumfanya afu ukawa ndo mchezo wake"[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nireteeni gwaaajima!
Nireteeni gwaaajima!
Nireteeni gwaaajima
Sintowaangusha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulimuuliza ili iweje
Kwa sisi wajuzi wa mambo hayo tunajua kwamba hiyo ni indirect massage ya kua na ww unaweza kupita huo mlango maana uko wazi ni hiari yako tuItokee akusimulie "Kaka Smart911 kuna ex wangu aliwahi nila ndogo sikupenda basi tu sikua nacha kumfanya afu ukawa ndo mchezo wake"[emoji2]
Basi alikuwa anamaanisha kukuonesha kuwa yeye sio wa ivi ivi wanamtaka kama maji ya kisima cha kijijiNimeandika hapo juu kwamba nilikuta sms chafu kwenye sms yake kwa hiyo ni wazi sikuwa mwenyewe ingawa wakati ananisimulia hizo past zake alinambia kaamua kutulia na mimi ndio maana kaona anambie hayo yote.
Yes hilo ni kawaida kwa binti mzuriBasi alikuwa anamaanisha kukuonesha kuwa yeye sio wa ivi ivi wanamtaka kama maji ya kisima cha kijiji
Daah nimecheka kinouma[emoji28] mkuu, msipende kujuaga background za watu kabisa.Wambie Mimi Kuna demu nilimuulizaga Nani Ali to bkra yako ananiambia ni mwalimu wa kiswahili wakati niko form two alikua ananipenda tupo kitandani kwenye mandalizi ya kupeana Mambo moyo uliluka nikavaa nguo nakuondoka na mwalimu anae msema alikua ameowa mdogo wangu