Siri na fumbo la kifo (Dini & Sayansi) tukishakufa tunakwenda wapi?

Shida inabaki pale pale ukweli au uongo kuhusu kifo hakuna ajuaye, tunafanya vizuri kujadili na kufukua sayansi na iman mbalimbali ila ukweli wa yote hakuna.
Laiti mmoja ,aliyekufa angerudi kutwambia kinachoendele huko tungepata majawabu ya mafumbo mengi, lakini Mlengo wa Dini ni pamoja na kuamini yote aliyoyatengeneza M/mungu Yanayoonekana na yasiyoonekana
 
Ni wachache miongoni mwa wengi ambao hawaogopi kifo, kuna muda nilikuwa napita mtaa fulani nikamwona kichaa akikwepa na kulipisha gari lilikuwa mwendokasi
 
Ni wachache miongoni mwa wengi ambao hawaogopi kifo, kuna muda nilikuwa napita mtaa fulani nikamwona kichaa akikwepa na kulipisha gari lilikuwa mwendokasi
Yeyote anaye yajua mapenzi ya Mungu na aliyetenda mapenzi ya Mungu kikamilifu hapa duniani haogopi kufa.
Paulo anasema
2 Timotheo 4:
5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
6 Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.

Wafilipi 1:21 Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.


Kumbe ukitimiza ile kazi uliandikiwa hapa duniani kifo hakikutetereshi wewe.
 
Kama ingekuwa hivyo basi dunia ingebaki na idadi ileile ya watu. Maana ingekuwa na kwenye mpira wachezaji 11 tu, hivyo akitoka mmoja anaingia mmoja.
 
Soul can neither created nor destroyed but i can be transformed from one body to another and that's the cycle of life.

Zingine ni ngojera za dini ili wapate waumini.

#MaendeleoHayanaChama
Moja Kati ya nadharia za kipuuzi kuwahi kutokea duniani ,nakumbuka wakati nipo mdogo na watoto wenzangu tulikuwa tunapeana moyo kwamba tukifa hapa sisi tunazaliwa upya majuu kila mtu akawa anachagua nchi yako anayoipendea na mimi nilichagua kuzaliwa tena brazili kwa sababu ya wakina Dinho na De lima na shangaa mpk sasa kuna watu wazima wanaamini Ktk upuuzi wa reicarnation.
 
Kama ingekuwa hivyo basi dunia ingebaki na idadi ileile ya watu. Maana ingekuwa na kwenye mpira wachezaji 11 tu, hivyo akitoka mmoja anaingia mmoja.
Idadi ya roho haiongezeki wala kupungua.

Ila idadi ya watu ikipungua huku, inaongezeka kule.

Roho za watu waliokufa huwa zina hama na kwenda mbali kutafuta mwili mwingine.

Ila baadhi huwa zinabaki sehemu moja na kutafuta mwili mwingine hapao hapo.

Mda huu kuna roho za watu waliofia TZ zipo njiani kuelekea USA, UK CHINA, FRANCE, at the same time kuna roho za watu waliofia UK, USA, CANADA, zipo njiani kuelekea DRC, SUDAN, HAITI, MALAWI.

Idadi ya watu itapungua huku na kuongezeka kule.

Ila kuna roho huwa zina baki kizimu, hazina mpango wa kurudi kuwa binadamu kwa muda huo.

Hiyo itapelekea kuongezeka na kupungua kwa idadi ya watu duniani.

Idadi ya watu duniani itapaa kwa kasi endapo roho zitaamua kurudi dunia kwa kasi.

Mimi nikifa, nitaenda kizaliwa RUSSIA.
 
Kweli Jf inakimbikilia kuwa na idadi kubwa ya great sinker , swala hilo halijawahi kuthibitika mahali popote duniani zaidi ya kubakia kama dhana tu na vipi wewe kuzaliwa tena Russia umepata wapi uhakika unaweza kuweka uthibitisho ?
 
Waislam someni huu uzi kimbelembele chenu cha kuzika mapema mnazika watu walio hai wengi sana. Na sio ajabu wanafufuka tena wakiwa kaburini halafu hufa kwa hofu na kukosa oxjeni siajabu hupiga kelele sana mpaka wanakata roho.
Hospitali: Muhimbili
Wagonjwa: Waislamu na Wakristo

Afe muislam au mkristo, wote huifadhiwa chumba kimoja cha maiti.

Je....? ni Wakristo wangapi waliofufuka baada ya kuthibitishwa kuwa walifariki.

Nafahamu kuwa, maiti hutolewa chumba cha wagonjwa na kupelekwa chumba cha maiti.

Issue ya kuzika mapema sio tatizo, kwa sababu hata ukimuacha wiki 2 kwenye chumba cha maiti, marehemu hawezi pata uhai tena.

Laiti ingelikuwa Wakristo wana zinduka baada ya kutangazwa kufariki, amini na kwambia... Waislamu wangeacha tabia ya kuzika mapema.
 
Pumba. Yaan idadi ya watu iongezeke na Roho zibaki kwa uwingi ule ule?? Roho moja yaweza tumia watu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.?
 
Kweli Jf inakimbikilia kuwa na idadi kubwa ya great sinker , swala hilo halijawahi kuthibitika mahali popote duniani zaidi ya kubakia kama dhana tu na vipi wewe kuzaliwa tena Russia umepata wapi uhakika unaweza kuweka uthibitisho ?
Thibitisha kama hakuna kuzaliwa tena.
 
Wafia dini bhana..wewe una nini zaidi ya ngonjera za vitabu vya historia za waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
Tena havina hadhi ya kuitwa historical books,zile ni fiction books maana vinaelezea vitu ambavyo haviwezi thibitishwa kisayansi km kwl vilikuwepo,yaan ni wajanja walikopi sehem zingine na kuunda dini.

Mfano hakuna proof ya exodus,uwepo wa mtu anaitwa Moses(Moses ameibwa kutoka Egypt,wamechukua mtu wakama character ya Moses),hakuna uthibitisho wa archaeology km watu km mfalme Daudi kuwepo,zote ni nadharia km za wagirki na miungu Yao,mifano ni mingi sana.

Hizi dini zimetuchezea sn,tumechezewa sanaa.
 
yani lile depo la utotoni hule,mafundisho ,kutandikwa stiki na mzee ,huku walimu tushamaliza halafu tuje tuanze upya No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…