Siri na fumbo la kifo (Dini & Sayansi) tukishakufa tunakwenda wapi?

Shida ya Hizi concept zote
Ni uthibitisho tu huenda wakina Lazaro
Wangesema lolote huko walikokuwa tungepata majawabu
 
Kuna na hii pia May be inaweza kutuambia mengine

Luka 16:19-31
19
Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa.
20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
21 naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.
22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
25 Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa.
26 Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.
27
Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
28 kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
29 Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu.
31 Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
Sawa sawa mkuu
 
Well
 
Acheni kuwaza kifo hakuna mwenye majibu hapa duniani kwani waliomezwa na ardhi hawakurudi kutuambia yaliyojir mi nadhani vile unawaza jinsi ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa kwako ndivo ilivyo baada ya kifo
 
Acheni kuwaza kifo hakuna mwenye majibu hapa duniani kwani waliomezwa na ardhi hawakurudi kutuambia yaliyojir mi nadhani vile unawaza jinsi ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa kwako ndivo ilivyo baada ya kifo
Ndio ukweli
 
Shukraani sana
Mkuu

Mkuu kuna huyu mwamba anaitwa Eric Steinhart kwenye moja ya tatifi zake aliongea kitu chenyw ukakasi eti

“Bodies are 3D stages of 4D lives”

[emoji848][emoji848][emoji848] Hapo unaweza kunisaidia kidogo mkuu
 
😁😁😁 Kunaukweli hapo,..
 

Hapo unqzungumzia incarnation mkuu
Hii nadhari ndo bora zaidi hapo unazaliwa mara ya pili kutokana na maisha uliyoishi kabla hujafa!
 
Laiti mmoja ,aliyekufa angerudi kutwambia kinachoendele huko tungepata majawabu ya mafumbo mengi, lakini Mlengo wa Dini ni pamoja na kuamini yote aliyoyatengeneza M/mungu Yanayoonekana na yasiyoonekana
Mungu ameyafanya haya maisha ya duniani kuwa ni mtihani ili aone ni nani atakaemwamini na kumuabudu kana kwamba anamuona. Mwisho wa huu mtihani (i.e KIFO) kuna malipo makubwa kwa wale waliomwamini Mungu na kisha wakatenda mema na vilevile kuna malipo mabaya kwa wale ambao hawakumuamini Mungu.

Kusema kuwa mbona hakuna aliyekufa na kisha kurudi kuja kutueleza nini kimejiri huko ni sawa na kusema mtu awahi kutoka ktk chumba cha mtihani kabla ya mtihani kuisha kisha arudi tena kuwatajia majibu wanafunzi wenzake. Jambo hilo haliwezekani na linaondoa maana nzima ya neno MTIHANI.

Hivyo wewe ukipenda Muamini Mungu na ukipenda usimuamini ila mwisho wake utakuja kujua kama ulifaulu mtihani wako au ulishika mkia
 
Wishful thinking!! Yaani Mungu aumbe wanaadamu wote halafu ashindwe pa kutuweka? Hivi ushawaza itakuwaje siku watu wote tutakapofufuliwa kuanzia Adam mpaka mwanadamu wa mwisho kuzaliwa katika ulimwengu huu. Wote tutakusanywa sehemu moja na uwanja mmoja na bado hatutaujaza.
 
Mkuu kuna huyu mwamba anaitwa Eric Steinhart kwenye moja ya tatifi zake aliongea kitu chenyw ukakasi eti

“Bodies are 3D stages of 4D lives”

[emoji848][emoji848][emoji848] Hapo unaweza kunisaidia kidogo mkuu
Sawa sawa mkuu catched
Nitarudi na hapa kuchangia ninachokifahamu kudogo
 
Sawa sawa
Mkuu
 
Acheni kuwaza kifo hakuna mwenye majibu hapa duniani kwani waliomezwa na ardhi hawakurudi kutuambia yaliyojir mi nadhani vile unawaza jinsi ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa kwako ndivo ilivyo baada ya kifo
Mwanadamu kikawaida tu ameumbwa kwa namna ya Ajabu
Kiumbe mdadisi na Mtaka kujua.

Hatuna majibu lakini hii haitufanyi sisi, kutokujiuliza kuhusu hiyo
 
Ukitaka jibu sahihi la ukifa unaenda wapi au nini hatima jiulize kwanza je ulifikaje duniani? Utasema ulizaliwa na wazazi, sawa hao walitoka wapi na hata hao kabla yao walitoka wapi waliletwa na nani na kwa lengo gani? Najua hutapata majibu kwahiyo kama wewe ni mtu wa Gambe piga Gambe au wewe ni wa totoz a.k.a misambwanda kula mbususu wewe achana na kuuliza sijui itakuaje ni sawa na kujiuliza kwanini kila siku jua linachomoza na kuzama na ukali wake uleule halijawahi kusahau au mbalamwezi kuelea najua kuna wapuuzi watakwambia ooh nguvu ya mvutano ukiuliza nguvu hiyo inatoka wapi ooh kuna sumaku na hiyo sumaku imetoka wapi? Ndo maana nakwambia kula mbususu tembea mbele hayo mambo ya kujiuliza maswali magumu waliweza wazee wa kigiriki wa enzi hizoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…