SoC02 Siri na mipango ya fedha

SoC02 Siri na mipango ya fedha

Stories of Change - 2022 Competition

lashanue

New Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Ni mchakato wa kupanga sera ya fedha na biashara, ambayo mojawapo ya mgao na mfuko wa kuelekea mafanikio. Na kazi ya mpangilio wa kibiashara kwa mfano nyaraka inayoonesha mahitaji ya kifedha katika biashara.

MALENGO YA MPANGO WA KIFEDHA.
✓ Kujua kiwango Cha pesa kinacho itajika kwenye biashara kwa muda husika kwenye biashara.
✓Kujua kiwango Cha pesa kitakachotumika kwa baadhi ya vyanzo kwenye biashara.
✓Kujua kiwango kitakachoikuza biashara kwa sasa na kiwango cha chini kabisa cha gharama.
✓Kuzuia ukwasi kwenye kushidwa kutekeleza wajibu wa malipo na vikwazo kwenye fedha.

SIFA NZURI ZA MPANGO WA FEDHA.

Rahisi na kawaida; Siku hizi tuna mifumo ya ulinzi inayotusaidia kukuza na kulinda mitaji/fedha katika masoko, lakini inategemea na ubora, usawa, urahisi na hamu ya kushiriki katika biashara.

Mtazamo wa muda mrefu; Biashara inayosimama na kutengeneza msingi lazima iwe na maono ya badae kwa ajiri ya kutoa huduma kwenye jamii

Rahisi na salama; Wakati mpango wa pesa una musingi wa muda murefu, muda mwingine unaweza usiwe na na taswira pamoja na maendeleo ya badae. sio tu ivyo hata bahazi ya makamupuni huwa na mabadiliko bahazi ya kibiashara. ni muhimu mpango wa fedha uwe na uwezo wa kubadilishwa na kurekebishwa bila kuwa na shida na kuchelewa kukutana na mabadiliko ya mahitaji na hali.

MUDHUI YA MPANGO WA FEDHA.

Malengo;
Hii Ina mambo muhimu na tija kwa ajiri ya ujumla na malengo ya biashara.

Mahitaji na fedha;
Hii inatathimini bajeti ya biashara maalumu na muda, maelekezo ya bajeti na mahitaji yote (kwa pamoja uwekezaji na uendeshaji ni kipengele Cha biashara.

Vyanzo vya fedha; hii sehemu inaonesha muhtasari wa vyanzo vya fedha vya Biashara inakusaidia kujua mahitaji na kiasi cha mfuko wa hali husika.

Fedha ya makadilio; Sehemu hii huonyesha mapato kaulina usawa wa fedha pamoja na mzunguko wa fedha.

HATUA ZA MIPANGO YA FEDHA.
  • Kupima biashara na Hali halisi ya kifedha .
  • Kuanzisha lengo sahihi lenye tija katika jamii.
  • Kupendeza mkakati na njia ya kutimiza lengo liliwekwa.
  • Kuandika na kuandaa plan husika .
  • Kutekeleza malengo kwa usahihi.
- Kufuatilia na kutathimini mpango husika.

SIRI na MIPANGO ya fedha ni nakala hii nimeiandaa kwa ajiri ya vijana na jamii kwa ujumla

IG; lashafx
Phone [emoji336] 0744775675

NOTE.jpg
 
Upvote 1
Ni mchakato wa kupanga sera ya fedha na biashara, ambayo mojawapo ya mgao na mfuko wa kuelekea mafanikio. Na kazi ya mpangilio wa kibiashara kwa mfano nyaraka inayoonesha mahitaji ya kifedha katika biashara.

MALENGO YA MPANGO WA KIFEDHA.
✓ Kujua kiwango Cha pesa kinacho itajika kwenye biashara kwa muda husika kwenye biashara.
✓Kujua kiwango Cha pesa kitakachotumika kwa baadhi ya vyanzo kwenye biashara.
✓Kujua kiwango kitakachoikuza biashara kwa sasa na kiwango cha chini kabisa cha gharama.
✓Kuzuia ukwasi kwenye kushidwa kutekeleza wajibu wa malipo na vikwazo kwenye fedha.

SIFA NZURI ZA MPANGO WA FEDHA.

Rahisi na kawaida; Siku hizi tuna mifumo ya ulinzi inayotusaidia kukuza na kulinda mitaji/fedha katika masoko, lakini inategemea na ubora, usawa, urahisi na hamu ya kushiriki katika biashara.

Mtazamo wa muda mrefu; Biashara inayosimama na kutengeneza msingi lazima iwe na maono ya badae kwa ajiri ya kutoa huduma kwenye jamii

Rahisi na salama; Wakati mpango wa pesa una musingi wa muda murefu, muda mwingine unaweza usiwe na na taswira pamoja na maendeleo ya badae. sio tu ivyo hata bahazi ya makamupuni huwa na mabadiliko bahazi ya kibiashara. ni muhimu mpango wa fedha uwe na uwezo wa kubadilishwa na kurekebishwa bila kuwa na shida na kuchelewa kukutana na mabadiliko ya mahitaji na hali.

MUDHUI YA MPANGO WA FEDHA.

Malengo;
Hii Ina mambo muhimu na tija kwa ajiri ya ujumla na malengo ya biashara.

Mahitaji na fedha; Hii inatathimini bajeti ya biashara maalumu na muda, maelekezo ya bajeti na mahitaji yote (kwa pamoja uwekezaji na uendeshaji ni kipengele Cha biashara.

Vyanzo vya fedha; hii sehemu inaonesha muhtasari wa vyanzo vya fedha vya Biashara inakusaidia kujua mahitaji na kiasi cha mfuko wa hali husika.

Fedha ya makadilio; Sehemu hii huonyesha mapato kaulina usawa wa fedha pamoja na mzunguko wa fedha.

HATUA ZA MIPANGO YA FEDHA.
  • Kupima biashara na Hali halisi ya kifedha .
  • Kuanzisha lengo sahihi lenye tija katika jamii.
  • Kupendeza mkakati na njia ya kutimiza lengo liliwekwa.
  • Kuandika na kuandaa plan husika .
  • Kutekeleza malengo kwa usahihi.
- Kufuatilia na kutathimini mpango husika.

SIRI na MIPANGO ya fedha ni nakala hii nimeiandaa kwa ajiri ya vijana na jamii kwa ujumla

IG; lashafx
Phone [emoji336] 0744775675

View attachment 2308881
[emoji383][emoji383]
 
Back
Top Bottom