Siri nyuma ya sura nzuri

Ila bwana wauaji wa huko mbele nao ujue wanatumi akili sana , km ile ya jana bila wale wapelelezi kuwa makini wangefeli mapema tu
Kuna kipande kwenye gun slingers, mpelelezi kamtafuta muuaji kwa miaka Kama 10.
👉Kakodi mpaka majambazi wa zamani, dk za mwishoni ndo aka mshika
 
Hata baadhi ya kesi kubwa tuna ziacha Zina ning'inia mno.
👉Ina paswa iwepo team makini
team ya nini wakati wauaji ndio wanao tuongoza... kubali kataa kuna nchi inaongozwa na MAJAMBAZI 😭😭😭

ndio maana nchi hiyo aiwezi kuruhusu hata siku moja wapelelezi huru... imagine hata shule binafsi ya masomo ya ulinzi kwenye nchi hiyo ni marufuku🤣🤣🤣
 
Sawa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…