Siri nyuma ya sura nzuri

Siri nyuma ya sura nzuri

Ila bwana wauaji wa huko mbele nao ujue wanatumi akili sana , km ile ya jana bila wale wapelelezi kuwa makini wangefeli mapema tu
Kuna kipande kwenye gun slingers, mpelelezi kamtafuta muuaji kwa miaka Kama 10.
👉Kakodi mpaka majambazi wa zamani, dk za mwishoni ndo aka mshika
 
Hata baadhi ya kesi kubwa tuna ziacha Zina ning'inia mno.
👉Ina paswa iwepo team makini
team ya nini wakati wauaji ndio wanao tuongoza... kubali kataa kuna nchi inaongozwa na MAJAMBAZI 😭😭😭

ndio maana nchi hiyo aiwezi kuruhusu hata siku moja wapelelezi huru... imagine hata shule binafsi ya masomo ya ulinzi kwenye nchi hiyo ni marufuku🤣🤣🤣
 
Sasa chalii ulitegemea habari hii tena inayohusu watu wa ugaibuni asiwe ameikopi sehemu? Mbona ni wengi tu wanaleta habari kule jamii intel za kukopi na sijawahi kuona ukisema mtu atoe credits kwa chanzo?
Let's appreciate kwa wajuzaji maana si wote wanaweza kuaccess habari kama hizo kwenye vyanzo vikubwa vya ng'ambo so vinapoletwa hapa wanahabarishwa wengi.
Sawa boss
 
Back
Top Bottom