Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Kwa jicho la kisheria na jicho la kidini wale watoto kwa zari watakuja kumtoa kamasi.
 
CORRECTION na USHAURI: Ukishataja jina la mtu kwenye sentensi ya kiingereza huweki tena ''she'' au ''he''. Kwa mfano umeandika ''Zari she was cheats with P-square..... Hili ni kosa. Otherwise majasusi kama sisi hatukawii kujua ni nani huwa anafanya makosa kama haya kwenye account zake zenye majina ya ukweli...na tukafumbua fumbo la warumi wa JF ni fulani...
 
kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer 😀!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
Mdangaji mwenye malengo sio hao wakutaka sifa mwisho wa siku kabaki mwaaa
 
Kama mnajeuri nendeni mkamtoe zari south tuone, Yule sio cheap bitch kama hamisa wenu , kujidai kazaa na staa hata kodi ya nyumba Hana , Tatizo nini ? C muende south mkachukue nyumba muone[emoji1787]
Kwahiyo ni expensive bitch right?
 
kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer [emoji3]!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
Thread closed.
 
Nimegundua maisha ya zari wanayatamani watu wengi sana na wengi wanamchukia ukiwauliza sababu hawana kwanza zari mwenyewe hawajui au hata kumuona hawajawahi muona hata kwa bahati mbaya zaidi ya instagram yani kila mtu anajifanya kumjua zari kindaki ndaki kama vile shoga yake tafuteni maisha awe muhuni awe nini kivyake yenu ya kulalwa kwenye nyasi tunayajua? Nimeshangaa kuona linda anajikomentisha bibi lile limezaa kila mtoto na baba yake hana mbele wala nyuma kutwa kuuza papa linda hata kibanda huna lakini kujifanya anamchamba zari yaani maisha ya zari we linda na mange hata muuze figo au maini hamtakaa kuja kuyafikia natanguliza pole kwenu karibuni wenye mapovu nitawafurahisha, kiki ni zari kaona wanataka mtoa macho kuiba nyimbo ya wenzio kakurupuka insta kumsema zari alikua wapi siku zote au anamtaka bado kingbae anmtoa povu na badoo[emoji848]

Domo anaungua moyoni kuhusu zari lakini machoni kwa watu anajifanya yuko poa yaliyo mkuta ivan yanamnyemelea domo wanasaikolojia tafadhali msaidieni domo.
 
Kiki ni Zari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msilie basi mashosti.
Zari bosslday? Hebu nitajieni biashara 3 za Zari mnazozijua?

Yule ni mdangaji tu. Ila ni international level. Super classic malaya.
Kinachonishangaza ni kuwa nyie mashabiki wa zari mnamtetea zari kwa kusifia ujinga wake. Zari na mondi wote wale wale tu.
 
Am serious sio kwa povu hili! Pole jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] you cant be serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…