Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Hawezi fukuzwaa ana watoto kama wa dai acha amhifadhi homeless yule !!!Sina wivu mmefurahi kweli Leo dai kanikoshaaaaaa!tumejua upande wa pili wa shilling

Ungejua channels kubwa zinampa kiki Zari leona hata hawaongelei nyimbo yake.. kachemka.. mshauriapate washauri wazuri.. wenye akili wamemuona ni muongo.. wamemuongelea Kingbae 😀. Amuache tu Zari akae mbali aache kuonyesha bado anampenda.

SA harusi yaja... wote mnaisubiria kwa hamu.. fans wa Zari in denial.. mnajua nguvu yake ya kuongelewa kiki kaipata Zari.. angemtumia tu Tanasha wake kwa kumuongelea jana.
 
Kuna nini humu??? Jamani msinifanye nianze kukesha humu sisi wenzenu huku mtwara kesho kuna tsunami tupo kwenye maombi msinishawishi kusema...


Namaliza kwa kusema msimfananishe zari na vitu vya kijinga ....huyo chai jaba kama ana jeuri akachukue kibada chake ......

Nalog off mpaka majanga yatakapoisha huku tuliko
 
Kanywe maji makubwa naja kulipa.. Watu humu wivuuuu.. Hela tu ya kula tabuu... Eeeish
 

Aaaaah usi log off bhana binamu , njoo tuwasuuze hawa watu 🤣, zari kashawaambia kama wana ubavu waende kumtoa🤣
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]umeona eeehh!!cheating ndo ile ile haijalishi na kudanga ndo kule kule tushamjua tabia zake za kidangaji tuuu!!


Asee dai mvumilivu kwa kweli
U cheat na Prince Charles au Peter ku cheat Ni kucheat tu.
Na utajiri wa Ivan alishindwa kumunulia Zari nyumba?
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]umeona eeehh!!cheating ndo ile ile haijalishi na kudanga ndo kule kule tushamjua tabia zake za kidangaji tuuu!!


Asee dai mvumilivu kwa kweli
U cheat na Prince Charles au Peter ku cheat Ni kucheat tu.
Na utajiri wa Ivan alishindwa kumunulia Zari nyumba?
 
Pole kwa majanga hamia tandahimba

Zari nae mchafu kwa kua kalala jalalani...

Jinga tu kama wengine!!!
 
Ni povu maana kama neno mdangaji,malaya mmelitumia mpaka linaonekana neno la kawaida mno. Je ulishawahi ona mdangaji asie malaya?kuna anayezaa bila kutiwa?
Wewe chuki zako kwa diamond haziwezi kukusaidia chochote. Nakusihi ukazane kupambana kwenda kutokomeza umaskini kwenye jamii yako kwa kuhakikisha unawainua kiuchumi wale wote wanaokuzunguka kama anavyofanya huyo Diamond unayetumia nguvu zako zote kumponda.

My take
Zari na Diamond wote wana strengths na weakeness zao kama binadamu mwingine yeyote.
 
Hahahaaaa...mteteeni tu ukweli ndo huoo...hana ndoa wala harusi!!

Trust me!!incubator amshukuru dai kamfadhili
 
Pole kwa majanga hamia tandahimba

Zari nae mchafu kwa kua kalala jalalani...

Jinga tu kama wengine!!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] tandahimba tena lol kwakweli bora nirudi kwetu mpaka majanga yaishe
 
Wabongo wote mmemjua Zari kupitia Mondi. Sasa Mondi anatafutaje kick kwa Zari wakati video kaachia jana sijui ma views kibao. How?
Mi nimemjua kipindi yuko na Ivan nilikua namkubali jamani kaahh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…