Dah Ila hii inauma *****
Halafu mbaya zaidi , mtu kanunuliwa nyumba south Sasa , shoga yetu yupo bongo hata kibanda kujengewa hajajengewa kaishiwa kupangiwa na kutelekezwa anaomba omba kodi , kweli zari alisema si yeye aliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , wapambane kulipa kodi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]🤣🤣🤣
Ila zari shikamoo, sijui alimshika wapi domo mpaka kumkabidhi nyumba , yani domo na ubahili wote ule ***** kwa zari kanyooka, zari shikamoo, inabidi tumuombe aisee atufunze kuzaa na wanaume za watu kwa kutumia akili🤣🤣🤣🤣