Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Alishaandika mwenyewe Instagram kuwa yeye ni changudoa mzee. Sasa mimi sioni jipya hapo. Huenda Domo akawa anahofia methali hii. Wapiganapo fahali wawili ziumiazo nyika.kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer [emoji3]!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
Kingine duniani tunapita tu, kama analala kwa raha zake madale why atafute stress nyingine S.A?