Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Ni povu maana kama neno mdangaji,malaya mmelitumia mpaka linaonekana neno la kawaida mno. Je ulishawahi ona mdangaji asie malaya?kuna anayezaa bila kutiwa?
Hilo halikuwa povu, its according to you her fans. Nimesema kile mnatumia kumtetea.
 
Ni povu maana kama neno mdangaji,malaya mmelitumia mpaka linaonekana neno la kawaida mno. Je ulishawahi ona mdangaji asie malaya?kuna anayezaa bila kutiwa?
Hayo mengine yako, soma vizuri kile mnatumia kumtetea zari kwanza. Hicho ndicho nilichoandika. Hivyo hayo mengine ni majina tu.
 
Mei nimemfahamu mond kupitia Zari. Wewe kama umeipata simu juzi pole. Ulishawahi soma ubuyu kwa sintah?blog ya Zari unaifahamu?enzi anaimba ulikua la ngapi shosti?
Wabongo wote mmemjua Zari kupitia Mondi. Sasa Mondi anatafutaje kick kwa Zari wakati video kaachia jana sijui ma views kibao. How?
 
And look who is sad now hadi nakuonea huruma. Take a chill pill

Its a laughing emoji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Not emoji, the tone speaks alot.
 
CORRECTION na USHAURI: Ukishataja jina la mtu kwenye sentensi ya kiingereza huweki tena ''she'' au ''he''. Kwa mfano umeandika ''Zari she was cheats with P-square..... Hili ni kosa. Otherwise majasusi kama sisi hatukawii kujua ni nani huwa anafanya makosa kama haya kwenye account zake zenye majina ya ukweli...na tukafumbua fumbo la warumi wa JF ni fulani...

Nenda kule jukwaa la elimu mkuu Ndo panakufaa, sitaki ushauri wako najua Ninachokiandika, Mimi sijajifunza English Jana , I break the law coz najua sio kwa kwamba sijui , sawa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ooh really my tone seems am crying bwahahahaa madam change career from teaching to sociologist unafit huko.
Not emoji, the tone speaks alot.
 
And look who is sad now hadi nakuonea huruma. Take a chill pill

Its a laughing emoji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Numbisa leo unacheza kama Pele humu Kuna watu mna mahaba hivi 😂😂😂😂😂😂😂
 
Nimekuuliza wewe mwenye ushahidi hutoi jibu mie sina huo ushahidi so bibie kuna malaya asie mdangaji?kuzaa ni dhambi na umalaya?
Sio kujiuma uma, sema wewe si ndivyo mnavyomtetea lakini? Mbona unalikwepa hilo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ooh really my tone seems am crying bwahahahaa madam change career from teaching to sociologist unafit huko.
You see[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Back
Top Bottom