warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #101
Nimegundua maisha ya zari wanayatamani watu wengi sana na wengi wanamchukia ukiwauliza sababu hawana kwanza zari mwenyewe hawajui au hata kumuona hawajawahi muona hata kwa bahati mbaya zaidi ya instagram yani kila mtu anajifanya kumjua zari kindaki ndaki kama vile shoga yake tafuteni maisha awe muhuni awe nini kivyake yenu ya kulalwa kwenye nyasi tunayajua? Nimeshangaa kuona linda anajikomentisha bibi lile limezaa kila mtoto na baba yake hana mbele wala nyuma kutwa kuuza papa linda hata kibanda huna lakini kujifanya anamchamba zari yaani maisha ya zari we linda na mange hata muuze figo au maini hamtakaa kuja kuyafikia natanguliza pole kwenu karibuni wenye mapovu nitawafurahisha, kiki ni zari kaona wanataka mtoa macho kuiba nyimbo ya wenzio kakurupuka insta kumsema zari alikua wapi siku zote au anamtaka bado kingbae anmtoa povu na badoo[emoji848]
Domo anaungua moyoni kuhusu zari lakini machoni kwa watu anajifanya yuko poa yaliyo mkuta ivan yanamnyemelea domo wanasaikolojia tafadhali msaidieni domo.
Dah nimecheka et hat wauze figo hawayapati maisha ya zari , Ila mtu anayeumia zaidi ni mange kimambi , Dah , unajua mange na Ma master yake lakini ***** anaishi kama digi digi , wakat zali na diploma yake kampiga Bao hamfikii hata robo, Ana uwezo wa kumlisha yeye na vimbwa vyake, kweli kusoma sana sio kuwa na hela, Leo hii mange Hana ata nyumba ya kujishaua na magar ya kushow off , na sio kama hataki , Ila Hana , juzi tu kaazimwa gar na danga kaanza kupost insta mxieeew wanamuonea tu wivu zari