Siri nzito inanitafuna. Nifanye nini?

Siri nzito inanitafuna. Nifanye nini?

Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya!

Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!!

Wiki mbili zilizopita nilikua Nimeamshwa na kelele za kuku nyuma ya nyumba kwenye banda la kuku!

Nikaenda kagua mazingira,ilikua ni asubuhi yapata saa 11:15 hivi!

Naishi kwenye nyumba ya kupanga, hapa nilipo ni mtaa mpya nimehamia yapata miezi 2 nyuma.

Wakati nakagua kuku nilikua nimeinama kwa kua banda ni fupi.

Wakati zoezi likiendelea nilisikia gari imesimama upande wa pili wa nyumba kule nilikokua mimi kwa kasi sana kwa speed ile na muda ule ilinishtua kidogo ikabidi nisimame kuchungulia, Umbea uliniponza!!

Nilishuhudia mtoto mdogo wa miaka 4 jinsia ya kiume akiwa amebebwa na mama yake pamoja na mwanaume mwingine mweupee! alibebwa mpaka kwenye ile gari, yule mama na huyo mtoto nawafahamu kwa kua ni majirani zangu nyumba ya 4!

Alibebwa mpaka kwenye gari akiwa amevalishwa trucksuit za Adidas na kufunika kichwa chake kupitia lile koti la juu!Gari ikaondoka kwa kasi!!Hakuna alieniona kati yao!!

Baada ya gari kuondoka mama pekee ndie alirudi ndani huku akikimbia!nilishangaa kidogo ila sikujali niliona hayanihusu!

Baada ya siku 2 kupita,nilisikia mtoto amepotea!!ni yule yule niliemuona akiingizwa kwenye gari!nilipata mshangao nikaenda kwa mama mtoto aliepotelewa na mtoto! Nikamkuta analia hajiwezi!

Baada ya kumuhoji akasema mtoto amepotea wakati anaenda shule!anasema alimuandaa vizuri akamuacha aende mwenyewe kwakua alijisikia homa,muda kidogo akapigiwa simu na mwalimu kwamba mtoto hajafika shule na hawana taarifa!Siku anayosema mtoto amepotea ni ile ile siku nimemuona akimpakiza mtoto wake kwenye gari na yule mbaba mwingine!!NILISHANGAA SANA ILA NILIKAA KIMYA!

Kwa ufupi, huyo mama ameolewa na ana watoto 3, wakiume 2 na wakike 1, wakiume mmoja ndio huyo amepotea…anaishi na mumewake, siku ya tukio la mtoto kupotea mwanaume alikua amesafiri jana yake.

Yule mama ni mweupe kiasi tu (maji ya kunde) mumewe ni mweusi kabisaa! Yule mtoto aliepotea ni mweupe sanaaaa!na yule mbaba alokua amembeba anampandisha kwenye gari nae alikua mweupe sanaaaa! Kwa kuwa ilikua ni alfajiri sikuweza kuiangalia sura yake kwa utambuzi wa mfanano!

Nilichogundua ni kwamba yule mtoto hakua wa mumewe!yule baba alimchukua siku ile ndie baba yake.

Mume amerudi safari hajiwezi kwa Huzuni ya mtoto, masikini ya mungu hajui kama mtoto amechukuliwa na babayake wa kweli.

Naogopa kufungua mdomo wangu, siri hii inanitafuna sana! Najuta kushuhudia tukio lile!natamani kodi iishe hata kesho ili nihame hapa labda nitapata nafuu kidogo

Nifanye nini wanajmvi?

Hii haiwezi kuwa siri tena!!
Hii mitandao haina siri, maadam umeipost hapa vyombo vya usalama vinaingia kazini!!
Kwa kuwa huyo Mama alisema kapotelewa na mtoto ni dhahiri pia aliripoti kwenye kituo cha polisi, hivyo upelelezi ulikuwa umaendelea basi kupitia uzi huu, ambao ni ushahidi tosha huyo Mama anaenda kutiwa mbaroni na ukweli wote utajulikana nini kilitokea!
Kwa id yako unayotumia bila shaka ndiyo jina lako halisi Zamda Issa..!?
Hii code rahisi sana kuifungua!!
 
Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya!

Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!!

Wiki mbili zilizopita nilikua Nimeamshwa na kelele za kuku nyuma ya nyumba kwenye banda la kuku!

Nikaenda kagua mazingira,ilikua ni asubuhi yapata saa 11:15 hivi!

Naishi kwenye nyumba ya kupanga, hapa nilipo ni mtaa mpya nimehamia yapata miezi 2 nyuma.

Wakati nakagua kuku nilikua nimeinama kwa kua banda ni fupi.

Wakati zoezi likiendelea nilisikia gari imesimama upande wa pili wa nyumba kule nilikokua mimi kwa kasi sana kwa speed ile na muda ule ilinishtua kidogo ikabidi nisimame kuchungulia, Umbea uliniponza!!

Nilishuhudia mtoto mdogo wa miaka 4 jinsia ya kiume akiwa amebebwa na mama yake pamoja na mwanaume mwingine mweupee! alibebwa mpaka kwenye ile gari, yule mama na huyo mtoto nawafahamu kwa kua ni majirani zangu nyumba ya 4!

Alibebwa mpaka kwenye gari akiwa amevalishwa trucksuit za Adidas na kufunika kichwa chake kupitia lile koti la juu!Gari ikaondoka kwa kasi!!Hakuna alieniona kati yao!!

Baada ya gari kuondoka mama pekee ndie alirudi ndani huku akikimbia!nilishangaa kidogo ila sikujali niliona hayanihusu!

Baada ya siku 2 kupita,nilisikia mtoto amepotea!!ni yule yule niliemuona akiingizwa kwenye gari!nilipata mshangao nikaenda kwa mama mtoto aliepotelewa na mtoto! Nikamkuta analia hajiwezi!

Baada ya kumuhoji akasema mtoto amepotea wakati anaenda shule!anasema alimuandaa vizuri akamuacha aende mwenyewe kwakua alijisikia homa,muda kidogo akapigiwa simu na mwalimu kwamba mtoto hajafika shule na hawana taarifa!Siku anayosema mtoto amepotea ni ile ile siku nimemuona akimpakiza mtoto wake kwenye gari na yule mbaba mwingine!!NILISHANGAA SANA ILA NILIKAA KIMYA!

Kwa ufupi, huyo mama ameolewa na ana watoto 3, wakiume 2 na wakike 1, wakiume mmoja ndio huyo amepotea…anaishi na mumewake, siku ya tukio la mtoto kupotea mwanaume alikua amesafiri jana yake.

Yule mama ni mweupe kiasi tu (maji ya kunde) mumewe ni mweusi kabisaa! Yule mtoto aliepotea ni mweupe sanaaaa!na yule mbaba alokua amembeba anampandisha kwenye gari nae alikua mweupe sanaaaa! Kwa kuwa ilikua ni alfajiri sikuweza kuiangalia sura yake kwa utambuzi wa mfanano!

Nilichogundua ni kwamba yule mtoto hakua wa mumewe!yule baba alimchukua siku ile ndie baba yake.

Mume amerudi safari hajiwezi kwa Huzuni ya mtoto, masikini ya mungu hajui kama mtoto amechukuliwa na babayake wa kweli.

Naogopa kufungua mdomo wangu, siri hii inanitafuna sana! Najuta kushuhudia tukio lile!natamani kodi iishe hata kesho ili nihame hapa labda nitapata nafuu kidogo

Nifanye nini wanajmvi?

Hayo maumivu atakayoishi nayo huyo mwanaume ni magumu sana, na hana dhambi yeyote...

Hemu fikiri mtoto wako anapotea mpaka unakufa hujui alienda wapi, Mwambie huyo jamaa.

Ingekuwa jamaa hapati maumivu ni sawa, ila kwa nimi asiye na makosa ndo apate maumivu?

Hemu nipe codes mimi nikalibumbulue haraka sana na mapema kabisa.
 
Mkuu nyumba ya nne alipotoka huyo mama njian kote hakukuwa na watu
Zingatia muda 05:15 alfajiri zipo sehemu muda huo ndiyo watu hujifunika vizuri na huanza kuamka saa 06:00 siyo huku kwetu au huko kwenu tunapoamka kuwahi ratiba za usafiri.

Mwenyewe amebainisha aliamshwa kwa dharura za kuku kupiga kelele.
 
Mtonye mume kwa njia nyingine tu nenda internet cafe type maandishi mchane mume usiache ufe kwa ushuhuda huo
 
Tengeneza mazingira ya kumjuza mumewe bila yeye kukujua. Navyowajua hawa viumbe na udhaifu wao, akipewa kibano kisawasawa, anasema tu
 
Hata mimi ningejuta kushuhudia tukio zito kama hilo!

Kunyamaza na siri ya uovu napo dhambi achilia mbali ukweli kwamba tukio hilo limekuathiri kisaikolojia milele!

Tafta namna ujumbe umfikie mumewe.. mume ambane mke aseme ukweli.. utakuwa umejiokoa na mengi
 
Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya!

Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!!

Wiki mbili zilizopita nilikua Nimeamshwa na kelele za kuku nyuma ya nyumba kwenye banda la kuku!

Nikaenda kagua mazingira,ilikua ni asubuhi yapata saa 11:15 hivi!

Naishi kwenye nyumba ya kupanga, hapa nilipo ni mtaa mpya nimehamia yapata miezi 2 nyuma.

Wakati nakagua kuku nilikua nimeinama kwa kua banda ni fupi.

Wakati zoezi likiendelea nilisikia gari imesimama upande wa pili wa nyumba kule nilikokua mimi kwa kasi sana kwa speed ile na muda ule ilinishtua kidogo ikabidi nisimame kuchungulia, Umbea uliniponza!!

Nilishuhudia mtoto mdogo wa miaka 4 jinsia ya kiume akiwa amebebwa na mama yake pamoja na mwanaume mwingine mweupee! alibebwa mpaka kwenye ile gari, yule mama na huyo mtoto nawafahamu kwa kua ni majirani zangu nyumba ya 4!

Alibebwa mpaka kwenye gari akiwa amevalishwa trucksuit za Adidas na kufunika kichwa chake kupitia lile koti la juu!Gari ikaondoka kwa kasi!!Hakuna alieniona kati yao!!

Baada ya gari kuondoka mama pekee ndie alirudi ndani huku akikimbia!nilishangaa kidogo ila sikujali niliona hayanihusu!

Baada ya siku 2 kupita,nilisikia mtoto amepotea!!ni yule yule niliemuona akiingizwa kwenye gari!nilipata mshangao nikaenda kwa mama mtoto aliepotelewa na mtoto! Nikamkuta analia hajiwezi!

Baada ya kumuhoji akasema mtoto amepotea wakati anaenda shule!anasema alimuandaa vizuri akamuacha aende mwenyewe kwakua alijisikia homa,muda kidogo akapigiwa simu na mwalimu kwamba mtoto hajafika shule na hawana taarifa!Siku anayosema mtoto amepotea ni ile ile siku nimemuona akimpakiza mtoto wake kwenye gari na yule mbaba mwingine!!NILISHANGAA SANA ILA NILIKAA KIMYA!

Kwa ufupi, huyo mama ameolewa na ana watoto 3, wakiume 2 na wakike 1, wakiume mmoja ndio huyo amepotea…anaishi na mumewake, siku ya tukio la mtoto kupotea mwanaume alikua amesafiri jana yake.

Yule mama ni mweupe kiasi tu (maji ya kunde) mumewe ni mweusi kabisaa! Yule mtoto aliepotea ni mweupe sanaaaa!na yule mbaba alokua amembeba anampandisha kwenye gari nae alikua mweupe sanaaaa! Kwa kuwa ilikua ni alfajiri sikuweza kuiangalia sura yake kwa utambuzi wa mfanano!

Nilichogundua ni kwamba yule mtoto hakua wa mumewe!yule baba alimchukua siku ile ndie baba yake.

Mume amerudi safari hajiwezi kwa Huzuni ya mtoto, masikini ya mungu hajui kama mtoto amechukuliwa na babayake wa kweli.

Naogopa kufungua mdomo wangu, siri hii inanitafuna sana! Najuta kushuhudia tukio lile!natamani kodi iishe hata kesho ili nihame hapa labda nitapata nafuu kidogo

Nifanye nini wanajmvi?
Umesema ilikua sa 5 asubuh then mwishon unasema ukumuona huyo baba vizuri sababu ilikua alfajiri🙄 ila naona hakuna hatari hapo as long as mama mwenye mtoto anajua alipompeleka mwanae
 
Kuna vitu nliviona kipindi hiko nkiwa mdogo nlikaa kimya mpaka leo
 
Back
Top Bottom