ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Habari zenu mabibi na mabwana?
Nichukue nafasi hii kukipongeza chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kuhitimisha tukio adhimu sana katika kutekeleza ilani ya chama chao kwa kufanya uchaguzi wa haki na kumpata mwenyekiti wa chama.Hongereni sana..
Pia nichukue nafasi hii kukipongeza chama cha mapinduzi kwa kumpata mwenyekiti wa chama kwa uteuzi uliofanyika Dodoma.
Kwa pande zote mbili zinatarajiwa kutoa mgombea wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao sasa Basi napenda kutoa ushauri wangu kwa pande zote ama kusaidia tu ili kuweza kushinda moja kwa moja iwapo haki ya kidemokrasia itatendeka.
Mpaka Sasa asilimia kubwa ya wapiga kura hawana imani tena na chama kilichopo madarakani( sitaki tubishane kwa hili fanyeni utafiti wenyewe mana lipo wazi) pia ukweli mchungu ni kwamba baada ya kifo cha hayati JOHN POMBE MAGUFULI wananchi walio wengi hasa vijijini walitegemea rais atakaefata atapita mle mle alipopita mwendazake matokeo yake haijawa hivo ndipo sasa imani ikaporomoka kabisaaaa na hili sitaki tubishane kwa keypad za simu zama mtaani hojiana na wananzengo majibu yapo peupeeee…
Kingine kwanini CHADEMA imekuwa maarufu sana kwa kipindi hiki ni kwa sababu watu wengi waliomwamini hayatoki Magufuli ndio hao wanahisi chadema wanaweza kufiti gape lake na hasa kwa huyu mwenyekiti aliyeshinda uchaguzi.
Hivo Basi kwa mgombea wa chama chochote endapo atataka kuibuka mshindi wa kweli kutoka kwa watanzania walio wengi apite na upepo wa JPM hilo