Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi.

Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu.

Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!

Screenshot_2023-09-22-15-16-32-1.png
Screenshot_2023-09-22-15-16-53-1.png
Screenshot_2023-09-22-15-16-36-1.png

Screenshot_2023-09-22-15-17-15-1.png
 
Kama tulivyosema hapo awali , kishindo cha Kamati kuu ya Chadema , afadhali hata ukutane na tetemeko la Ardhi .

Japo Ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu .

Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na Jambo Zito

View attachment 2758400View attachment 2758405View attachment 2758401
View attachment 2758409
Chadema ilishakatwa mkia mchaga kalamba asali na wenzake na maaskofu wa KKKT chadema Ina aki kuwa CHADEMA ndio basi tena
 
Sidhani kama huko Chadema kuna kitu chochote. Mimi naona hali tu kama vile wale akina Dr. Slaa wanaleta fujo nyingi,lakini badala ya kukamatwa,wao wanaikamata Serikali.
 
Hili nalo kama genge tu hamna jipya, wanahangaika na matumbo yao mengine ni wewe raia kujipigania

Usimtegemee mwanadamu mwenzio Ili uishi maana there is no free lunch down the hell
 
Sidhani kama huko Chadema kuna kitu chochote. Mimi naona hali tu kama vile wale akina Dr. Slaa wanaleta fujo nyingi,lakini badala ya kukamatwa,wao wanaikamata Serikali.
Ndiyo umeandika nini ngosha?
 
Hili nalo kama genge tu hamna jipya, wanahangaika na matumbo yao mengine ni wewe raia kujipigania

Usimtegemee mwanadamu mwenzio Ili uishi maana there is no free lunch down the hell
pole kwa maumivu
 
Daa kweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi siku zote maana ukisikia kamati kuu ya CCM imeitishwa na imekaa unakuta hadi nchi inatetemeka na kusimama shughuli zote za kisiasa. Ukiangalia hadhi,uzito na wasifu wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM Unaona hadi mwili unaganda kwa heshima. ukiangalia muonekano na Taswira nzima ya kamati kuu ya CCM Unaona ni watu wenye kutoa muelekeo wa nchi na Taifa letu.

Sasa ukiangalia kamati kuu ya CHADEMA Unaona ni mkusanyiko wa watu wasaka tonge,watu waliojikatia Tamaa,watu wasioleta matumaini kwa watu,watu wasio na maono wala Dira wala muelekeo wala Hoja zenye kutoa matumaini kwa yeyote yule Ni mkusanyiko wa watu unao tafuta fursa za kulisha na kujishibisha nakujineemesha na baada ya hapo wanarudi kuanza kuwatukana na kuwakejeli watanzania waliowapigia kura,na hapa mnaweza kumbuka kejeri na matusi ya Lema kuwa kazi ya bodaboda ni kazi ya laana ,,ikiwa na maana hata wanaofanya kazi hiyo nao wamelaaniwa.
 
Back
Top Bottom