Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
AmeenTulianza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeenTulianza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu.
HahahaNi jambo jema 😄
Mkutano wanafanyia Darasani!
Kwani nyie mmeweka sura zipi mpya wapumbav kabisa! Waondoeni kwanza akina wassiraSura zile zile watu wale wle.
Hicho kishindo kiko wapi?
Yaani wewe nimecheka kama mazuriNi jambo jema [emoji1]
Mkutano wanafanyia Darasani!
HUTEULIWI NG'O!!!!Daa kweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi siku zote maana ukisikia kamati kuu ya CCM imeitishwa na imekaa unakuta hadi nchi inatetemeka na kusimama shughuli zote za kisiasa. Ukiangalia hadhi,uzito na wasifu wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM Unaona hadi mwili unaganda kwa heshima. ukiangalia muonekano na Taswira nzima ya kamati kuu ya CCM Unaona ni watu wenye kutoa muelekeo wa nchi na Taifa letu.
Sasa ukiangalia kamati kuu ya CHADEMA Unaona ni mkusanyiko wa watu wasaka tonge,watu waliojikatia Tamaa,watu wasioleta matumaini kwa watu,watu wasio na maono wala Dira wala muelekeo wala Hoja zenye kutoa matumaini kwa yeyote yule Ni mkusanyiko wa watu unao tafuta fursa za kulisha na kujishibisha nakujineemesha na baada ya hapo wanarudi kuanza kuwatukana na kuwakejeli watanzania waliowapigia kura,na hapa mnaweza kumbuka kejeri na matusi ya Lema kuwa kazi ya bodaboda ni kazi ya laana ,,ikiwa na maana hata wanaofanya kazi hiyo nao wamelaaniwa.
CCM imewahi kujenga darasa la namna hiyo?Ni jambo jema [emoji1]
Mkutano wanafanyia Darasani!
Daa kweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi siku zote maana ukisikia kamati kuu ya CCM imeitishwa na imekaa unakuta hadi nchi inatetemeka na kusimama shughuli zote za kisiasa. Ukiangalia hadhi,uzito na wasifu wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM Unaona hadi mwili unaganda kwa heshima. ukiangalia muonekano na Taswira nzima ya kamati kuu ya CCM Unaona ni watu wenye kutoa muelekeo wa nchi na Taifa letu.
Sasa ukiangalia kamati kuu ya CHADEMA Unaona ni mkusanyiko wa watu wasaka tonge,watu waliojikatia Tamaa,watu wasioleta matumaini kwa watu,watu wasio na maono wala Dira wala muelekeo wala Hoja zenye kutoa matumaini kwa yeyote yule Ni mkusanyiko wa watu unao tafuta fursa za kulisha na kujishibisha nakujineemesha na baada ya hapo wanarudi kuanza kuwatukana na kuwakejeli watanzania waliowapigia kura,na hapa mnaweza kumbuka kejeri na matusi ya Lema kuwa kazi ya bodaboda ni kazi ya laana ,,ikiwa na maana hata wanaofanya kazi hiyo nao wamelaaniwa.
Akili yako ina sarataniChadema ni cancer inayoua upinzani. Wabongo wangekua wajanja chama kama CDM wasingekipa hata mbunge mmoja..wachumia tumbo tu ndio wamejaa kwahilo li chama.
😆😆😆😆Akili yako ina saratani