Unamfahamu Abduli, mtoto wa Mama Kizimkazi?1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ?
2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo !
3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
Kwa kawaida,timu 2 zinazocheza ndizo hukatwa hizo gharama kutoka kwenye mapato ya viingilio1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ?
2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo !
3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
Wale wa kila siku huwa wanalipwa na nani? Mnakuza mambo na kujitungia upuuzi tu.Utterly nonsense!1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ?
2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo !
3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
Kwa waamuzi wa tanzania wanalipwa na bodi ya ligi,ila wanapoletwa waamuzi wa nje,ni sheria ipo dunia nzima kwamba timu zinazocheza ndio hugharimia waamuziWale wa kila siku huwa wanalipwa na nani? Mnakuza mambo na kujitungia upuuzi tu.Utterly nonsense!
Kwa hiyo unataka kueleza nini?Kwa waamuzi wa tanzania wanalipwa na bodi ya ligi,ila wanapoletwa waamuzi wa nje,ni sheria ipo dunia nzima kwamba timu zinazocheza ndio hugharimia waamuzi