Siri nzito yavuja wizara ya elimu

Siri nzito yavuja wizara ya elimu

baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi august,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa

Kumbe hata kuandika hajui? Tumsamehe bure
 
baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi august,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa

1 darasa la saba
2 700,000
3 kuepusha
4 kufeli
5 kunusulu
 
baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi august,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa

omg... Athari za matokeo mabaya ya kidato cha nne zaanza kuonekana!!!!
 
Kazi ipo, sikuhizi wizara ya elimu ndio inahusika na mishahara? Kama ww ni mwl basi nahisi umechukua story za vijiwe vya waalimu ukaihalalisha kama habari.
Otherwise utakua umetumia ule unga ambao watz tunaongoza kwa kukamatwa na airports za nje
 
Hatudanganyiki !!!

Mishahara mipya imeshatangazwa
August kwani haya ni Maafa?
Maana Maafa fungu lipo ofisi ya Pinda
muda wowote yakitokea na pesa inatoka.
 
Back
Top Bottom