Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

B M F ICONIC

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
824
Reaction score
1,631
Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake.
Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya
ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake.

Mtazamaji kula chuma hicho

Ndo maana nikienda dukani najikuta na nunua hata vitu ambavyo sikupanga. Na wasiwasi na supermarket😁
KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA KWA KUPITIA KWA MUNGU .SOMA HAPA

Hio ni technique ya bei chee ya kuleta mvuto kwenye duka. Apo hkwenye ushirikina sasa ndo utusanue

Hapo sio kuleta mvuto. Hapo ni ushirikina wa kuwapumbaza watu wasiende kwingine waje hapo bila kujali ubora wa bidhaa hata kama bidhaa zitakuwa zimeoza/zimepitwa na wakati kama hao samaki. huo ni ushirikina.
 
Kuna wale machinga au wauza sokoni sijui wanakuaga na mizizi. Ukiitwa " nichangie hapa" umeisha, sauti yao uwa wameitia maelekezo
 
Hapo sio kuleta mvuto. Hapo ni ushirikina wa kuwapumbaza watu wasiende kwingine waje hapo bila kujali ubora wa bidhaa hata kama bidhaa zitakuwa zimeoza/zimepitwa na wakati kama hao samaki. huo ni ushirikina.
Kama ilo ni duka la kawaida. Kwenye Mall au supermarket itskuaje?
 
Back
Top Bottom