Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

Unakuta duka limefururuka watu kumbe ndio hao saadini lazima utakwenda tu .
 
Waislam na ushirikina [emoji119]

Sijui kama Kuna watu Washirikina kuwazidi Wakristo. Shida yenu hamjui nini maana ya Ushirikina, wewe tu kuamini ya kuwa Yesu ni Mungu, Yesu anaponya ni USHIRIKINA, Sasa ni Wakristo wangapi wanaamini hayo na wanaishi nayo ? Ushirikina ni kutaka msaada wa jambo ambalo halifanyi ila Allah kwa mtu kiumbe kingine.
 
Kuna Uzi Mmoja hapa, naona umefutwa ule ndio ulikuwa unaeleza kila kitu kwa uwazi kabisa! nadhani baadhi ya wafanyabiashara wamempa rushwa mtoa post asiendelee na uzi ule! na baada ya Siku chache tu ukafutwa Ulisomeka ' The Dark side of business'
Tanzanian Dream
 
uzi ulienda hadi season ya mwisho
 
Back
Top Bottom