Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake.
Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya
ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake.
Mtazamaji kula chuma hicho
Your browser is not able to display this video.
Ndo maana nikienda dukani najikuta na nunua hata vitu ambavyo sikupanga. Na wasiwasi na supermarket😁 KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA KWA KUPITIA KWA MUNGU .SOMA HAPA
Hapo sio kuleta mvuto. Hapo ni ushirikina wa kuwapumbaza watu wasiende kwingine waje hapo bila kujali ubora wa bidhaa hata kama bidhaa zitakuwa zimeoza/zimepitwa na wakati kama hao samaki. huo ni ushirikina.