Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 594
Noma sana!Wame maliza ibada zao ni utelezaji tu
Waislam na ushirikina [emoji119]
uzi ulienda hadi season ya mwishoKuna Uzi Mmoja hapa, naona umefutwa ule ndio ulikuwa unaeleza kila kitu kwa uwazi kabisa! nadhani baadhi ya wafanyabiashara wamempa rushwa mtoa post asiendelee na uzi ule! na baada ya Siku chache tu ukafutwa Ulisomeka ' The Dark side of business'
Tanzanian Dream