Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

Neil Armstrong aliambiwa aape kama ni kweli kafika Mwezini akagoma

Hakuna binadamu aliewahi kufika Mwezini

Wameidanganya Dunia Kwa muda Mwingi sana
 
Kuna jamaa yangu nae ana imani ya namna hiyo, mambo mengi husema kua yamepangwa na wanaotaka dunia iweje ili izidi kupotea.

Tunaotaabika zaidi ni sisi tusio na imani yoyote, hatusimamii chochote.
Waislam wao wana imani yao, wanashikilia kile kilichosemwa kwenye dini yao, wakristo, wahindu, dini za kiafrika na wenye dini nyingine ni vivyo hivyo wana imani yao kua dunia inaendeshwa vipi, wanaamini, wanafocus na baadhi yao wanapata matokeo kwa kile wanachoamini.

Binafsi siamini kitu, ila naona wenye imani wana amani kuliko mimi. Kuamini kitu hiki ilhali unaona kabisa sio na unakua na maswali mengi kinanipa ukakasi.
 
Neil Armstrong aliambiwa aape kama ni kweli kafika Mwezini akagoma

Hakuna binadamu aliewahi kufika Mwezini

Wameidanganya Dunia Kwa muda Mwingi sana
Aape kwa nani??
Hizi mbanga ukishaingiza imani tu baaasi kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…