Siri wanazotumia matajiri wakubwa wa kariakoo kuendelea kuwa matajiri na kutoshikika

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA

Usipozijua utaendelea kuwashangaa

Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao...

1. Group Buying ya Nguvu
wanaungana makundi na kuagiza mzigo mkubwa moja kwa moja kutoka China.

Kwa kuwa wananunua kwa wingi sana (wholesale ya wholesale), wanapata bei ndogo zaidi hata kuliko mtu unayeenda mwenyewe China. Hii huwapa faida kubwa ya bei wanaporudi Kuuza. Wanaungana WATU 10 kila mtu ana 100M _200M wananunua Duvert za 2B wewe unaenda China na 50M mtafanana sokoni?

2. Wanachukua Mikopo Mikubwa kwa Malengo Mahususi

Tofauti na watu wanaokopa kwa dharura au matumizi ya kifamilia, wao hukopa na kununua mzigo mkubwa unaozunguka haraka na kuleta faida kubwa. Wanajua pesa ya benki ni zana, sio mzigo.

3. Wana Channels Imara za Wanunuzi

Wana mtandao wa wanunuzi wakubwa – wauzaji wa jumla kariakoo, mikoani, masoko makubwa, na wafanyabiashara wadogo wanaokuja kuchukua mzigo kila siku. Hata kama hawapo Instagram au TikTok, bidhaa zao huisha kwa kontena, si kwa picha za kupost.

4. Wanabeba Mizigo ya Haraka Tu (Fast Moving Products)

Hawapotezi muda na bidhaa zinazokaa miezi stoo. Wanafuatilia bidhaa zinazotoka kila siku, zinazotumiwa na watu wengi, na haziitaji "kufundisha" soko. huuza sabuni, vyombo, nguo, plastiki, vyombo vya nyumbani n.k.

5. Wanafahamu Timing ya Soko

Wanajua lini mzigo gani unahitajika – mfano, sare za shule Desemba wakati we unaleta week ya wanafunzi kufungua, nguo za sikukuu Machi na November, viatu vya mvua kipindi cha masika n.k. Hawabahatishi. Wanaingia sokoni kabla bidhaa haijaanza kuhitajika. Wanawahi mahitaji

6. Wana Wachina/“Washirika” wa Biashara

Wengi wana connection za moja kwa moja na wazalishaji au mawakala China. Wanaweza hata kupewa mzigo kwa mkopo, au kupewa taarifa mapema za bidhaa mpya kabla hazijaingia sokoni.

7. Si watu wa Maonyesho.
Unaweza kudhani ni stoo keeper na Winga ndo mwenye duka, mitandaoni wanapost nne au tano za familia tu

8. Wana Mfumo Mkali wa “Cash Rotation”

Wanahakikisha pesa haikai – wanapokea mzigo, wanauza haraka, na kurudisha tena pesa hiyo kwenye mzigo mpya. Hili huwapa mzunguko mkubwa wa bidhaa na faida kila siku, badala ya kusubiri faida ya mwezi /mwaka.

9. Wana Vibarua wa Kueleweka na Mfumo wa "Loyalty"

Wana timu ya watu wa kusambaza, kupakia, kufunga, hata kuuza kwa niaba yao. Hawa watu wanaaminika, wanahudumiwa vizuri, na mara nyingi wamejengewa utaratibu wa malipo unaowafanya wasihame hovyo hovyo.

10. Wanajifunza na Kufuatilia Trends za Kimataifa

Hata kama hawako kwenye mitandao, wana watu au familia wanaowasaidia kufuatilia bidhaa zinazo-trend duniani. Wakiona kuna bidhaa mpya ya moto Ulaya au China, wanaagiza kabla soko la Tanzania halijajua.
.
Ingawa unaweza kuwa huna mtaji kama wao ila kuna siri unaweza kuzitumia kupanda juu.
.
Katika siri hizi. Ni siri gani utaanza kuitumia

©® KING MIDAS a.k.a Tajiri Mkuu wa Matajiri
 
That is the result of upside and downs.
 
Mtu unatumia 6M flight ticket kwenda China kuleta mzigo wa 30M umekula faida yako tayari ukiwa kwenye ndege na hotelini, hutoki ng'o!
 
Ndiyo hizo siri? Mbona hata ChatGPT ukiliuliza vizuri linakupa hizo hoja nane zote!
 
Back
Top Bottom