mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.
Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
Supu ya chupi ni maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro
Supu ya chupi ni maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro
kivipi mkuu!?
Nadhani wewe ndo unalifanya siri
kwangu mimi sio siri
...wanaume wamepigwa marufuku kuziuza.
Unazungumzia Trupa!?
Swadata trupa
Madaktari wanakaza kabisa hapo kwenye highlight. Unashauriwa kuifua chupi yako na kuianika hadharani kwenye jua kali ili kuua vijidudu na kisha uipige pasi na kuihifadhi vizuriHili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.
Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.
Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
SIO LAZIMA WAIONEulishawahi kuivaa na ukapita nayo mtaani watu waione?
Madaktari wanakaza kabisa hapo kwenye highlight. Unashauriwa kuifua chupi yako na kuianika hadharani kwenye jua kali ili kuua vijidudu na kisha uipige pasi na kuihifadhi vizuri
SIO LAZIMA WAIONE
MBONA SOKSI HAZIONEKANI?
NA HUKO KUFULIA SIRINI KUANIKA SIRINI LOH
KIAFYA NI HATARI MBONA?:focus:
Most of awa chupiz have toboz, and toboz aa not gud tu bi siin in pabulik. Yangu naanika ndani tena mvunguni, hata soksi