Siri ya chupi!

Siri ya chupi!

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.

Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
 
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.

Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?

Sio siri tena, tayari imefichuka
 
​sio siri tena kwa tunakoelekea litaanza valiwa hadi na watangazaji kwenye TV PROGS.
 
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.

Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
Madaktari wanakaza kabisa hapo kwenye highlight. Unashauriwa kuifua chupi yako na kuianika hadharani kwenye jua kali ili kuua vijidudu na kisha uipige pasi na kuihifadhi vizuri
 
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.

Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?

Mi nakataa! Hili vazi halinunuliwi kwa siri..otherwise lisingeuzwa hadharani.
Kwa anaeheshimu utupu wake hawezi akavaa chupi hadharani au kuivua hadharani...Hata nguo za kawaida sidhani unazivalia sebuleni au jikoni ndugu yangu...

Sehemu za siri (ni kiungo cha aibu)zinaheshimika..ndio maana huwezi ukapita mtupu mbele za watu unless ni mumeo/mkeo. Kuhusu kufuliwa,inaweza ikafuliwa kwa siri ila kuanikwa inatakiwa ianikwe kwenye jua..utatengeneza hata kamba ya kauanika nyuma ya nyumba.

Na kutupwa ni vizuri ikatupwa kwa siri tena huku ikichomwa moto ni vizuri zaidi..
 
ulishawahi kuivaa na ukapita nayo mtaani watu waione?
SIO LAZIMA WAIONE
MBONA SOKSI HAZIONEKANI?
NA HUKO KUFULIA SIRINI KUANIKA SIRINI LOH
KIAFYA NI HATARI MBONA?:focus:
 
SIO LAZIMA WAIONE
MBONA SOKSI HAZIONEKANI?
NA HUKO KUFULIA SIRINI KUANIKA SIRINI LOH
KIAFYA NI HATARI MBONA?:focus:

We ngoja mama tupele aiibe hapo kwenye kamba aipeleke kwa mjukuu wa babu kukufanyizia uone kama utapata mtoto asilani
 
Most of awa chupiz have toboz, and toboz aa not gud tu bi siin in pabulik. Yangu naanika ndani tena mvunguni, hata soksi

Lazima itakuwa ina harufu ya uvundo...utapata chawa huko down stairs weweeee!# Utawashwa mpaka ujute!
 
Back
Top Bottom