SIRI YA FICHUKA
MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA
Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱
Anasimulia:
"Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi sijawahi kulipwa hela ili niweze kufanya featuring... naijua hii game Toka Kitambo, niambie kuna nini nyuma yake?"
Baada ya Muda kupita Ndipo wakaja na hii idea ya "Miaka 30"
Jibu la Sugu lilikuwa: "Thank you so much ila siwezi kushiriki project asiyo kuwa na comfortable nayo.
Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee,..
hii game naijua niambie kuna nini kipo nyuma yah ii? Najua huna hiyo hela kwahiyo niambie nini kinaendelea kama ni mpango endelevu isije fika huko mbele mkaniweka kwenye project ambayo sitakuwa comfortable kuifanya, ndio baadae sasa wakaja nah ii idea ya Miaka 30 nikawaambia thank you so much ila siwezi” – Mr II, Sugu
Wewe unaonaje?
Sugu alifanya uamuzi sahihi kwa kukataa Milioni 2? 👇 Drop comment yako
HITIMISHO:
Thamani ya Mr. Sugu ni zaidi ya hiyo Milioni 2.
Jina, heshima na msimamo havina bei. Hii ndio tofauti ya msanii halisi na biashara ya muda.
Heshima kwako Mzee 👏
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
#BongoFleva #Miaka30 #MrIISugu #Madee #SiriYafichuka #BongoMusic #ThamaniYaSugu