Siri ya jina la Joti

Siri ya jina la Joti

Nyie mchokozeni tu Bi Kiboga aje awakate mitama kama mwajuma ndara ndefu
 
Nilisikia hilo jina la JOTI limetokana na Kikombe cha kahawa,
kikombe cha kahawa kinaitwa JOTI , so kutokana na ufupi wa Lucas, watu wakawa wanamuita ni mfupi kama kikombe cha kahawa (JOTI)
Kila mtu na fact yake.
 
Back
Top Bottom