Vyama vingi pinzani havijui Nature vizuri ya nchi. Ndio wanaposhindwa kuwapata wapiga kura wengi. Tannganyika ilipata uhuru kwa wepesi sana. Hakukua na fujo wala bugdha, nyerere alipita kule akapita huku, akakabidhiwa nchi.
Tofauti kidogo na wenzetu, mcoloni wetu aliweza kukututumia, hivo sisi mpaka leo ni watu wakarimu. Hatukuwahi kuonewa.
Tulibaki ni watu sio wa mabadiriko ila watu wa maisha bora. Mabadiriko yatajengwa taratibu taratibu.
Likifika swala la kubadirisha chama. Watanzania wengi sisi hatutokua tayari kuipa chama chochote pinzani nchi, labda huyo mpinzani aje awe ndani ya ccm. Tutamchagua akipewa nafasi ya ugombea wa uraisi.
Wapinzani wa ccm ni watanzania pia, ila vyama vingi vya kipinzani haviendi sawa na nature ya Tanzania.
Hata hizi story kura zinaibiwa sijui polisi, si kweli. Ni story za kipinzani.
Haijawahi tokea mpinzani akachukua ushindi mbele ya ccm haswa uchaguzi kama wa uraisi, labda kusogea karibu na kuitikisa lakini si kuitoa kwenye kiti.
Ccm ni chama pendwa sana cha Tanzania. Though vita vya kipinzani haswa kuipa serikali kila aina ya takataka ni kawaida dunia nzima lakini ccm inakubarika mikoa na vitongoji vyake.
Hilo ndio linaloipa nguvu ccm mpaka sasa.
Na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi huu.