SIRI YA KUFANIKIWA DUNIANI IPO KWENYE KUTOA MISAADA KWA (WAHITAJI)WENGINE(KANUNI YA KIROHO)

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
MAFANIKIO NI YA KIROHO
Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili.

KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE
Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za giza nguvu za miungu,ikiwemo,mizimu,waganga wa kienyeji,uchawi ,ushirikikina.

MADHABAHU YA KIROHO NYUMA YA MAFANIKIO
Mafanikio ya mwili yanayo onekana msingi wake ni madhabahu ya kiroho katika ulimwengu usio onekana inayofanya kazi nyuma ya ulimwengu wa kimwili inayoonekana kwa macho ya nyama ,ama iwe madhabahu ya nguvu za MUngu ama madhabahu ya miungu.
Madhabahu inafanya kazi kwa kupokea sadaka,kafara,mitambiko ndiyo inaipa nguvu madhabahu halafu hiyo madhabahu inakupa mwanadamu nguvu ya kufanikiwa hatima ya maisha yako.

MOJA YA SADAKA HIZO NI KUTOA SADAKA KWA WAHITAJI(Masikini,wajane,yatima,walemavu,ombaomba,wenye shida na uhitaji mbalimbali,wagonjwa,wafungwa n.k

UPANDE WA MUNGU NURU
Mungu amesema mkono unaotoa ndio utakaopokea,tena akasema ni heri kutoa kuliko kupokea,tena akasema dini iliyosafi mbele zake ni kwenda kuwasaidia wahitaji,na Mungu aka ahidi anayemsaidia muhitaji ama masikini yeye Mungu atamlipa kwa tendo lake hilo jema ni sawa na amemkopesha Mungu,na ahadi nyingine nyingi Mungu ameahidi ikiwemo kumuokoa wakati wa shida,wakati wa ugonjwa
Na yule anayetoa hatapungukiwa kitu,ameagiza tusiwanyime watu vitu,tena tukopeshe ,na tuwapende hata adui zetu.
Na asili ya kutoa ni yeye mwenyewe Mungu alimtoa mwanaye wa pekee kwa ajili yetu ili tuokolewe kutoka dhambini,
Na zaidi ya yeto akasema AMRI KUBWA kuliko zote ni UPENDO na maana ya upendo ni kutoa kitu chako cha thamani kwa ajili ya wengine UPENDO=KUTOA ,na yeye mwenyewe MUNGU akasema yeye ni PENDO akijitambulisha ,huwezi kusema unampenda mtu bila kutoa,na huwezi kumpenda Mungu bila kumpenda kwanza jirani yako,na upendo ni kutoa kwa ajili ya wengine.

AMRI KUU
MPENDE MUNGU=MPENDE JIRANI YAKO kumpenda Mungu ni kwanza kumpenda jirani yako,kumtumikia MUNGU ni kwanza kuwapenda jirani zako,pale unapomtendea wema masikini,asiye na nguo,mfungwa gerezani,mgonjwa hospitali,masikini,yatima ndio sawa na kumtendea MUNGU.
Huwezi kusema unampenda Mungu kama hawa jirani zako unawachukia.

MADHABAHU ZA GIZA
Mfumo wa shetani huwa ana copy na kupaste ana agiza mfumo wa Mungu unavyofanya kazi,hata yeye anapenda kujifananisha na Mungu,anatumia kanuni ileile.
MKONO UNAOTOA NDIO UTAKAOBARIKIWA ndio utaona ama utashangaa hata vyama vya nguvu za giza ama mawakala wa shetani nao wanatumia mfumo huo huo wa KUTOA SADAKA ILI WAPATE BARAKA
utaona wanajitangaza kama ni charity group vyama vya kutoa misaada,ama wanachinja mangamia,wanyama wanayafanyia makafara kwa kuyasemea maneno kunuizia halafu wnawagawia watu nyama bure hasa nyakati msimu wa sherehe za kuchinja ili kupitia kupokea misaada hiyo ya vyakula vya bure unauza baraka zako,kwa sababu mkono UNAOTOA NDIO UNAOBARIKIWA ni heri kutoa kuliko kupokea.
utaona hata baadhi ya mataifa yanatoa sana misaada kwa mataifa mengine misaada ya kibinadamu kwa sababu kanuni ya kiroho inasema mkono unaotoa ndio utakaobarikiwa.

utashangaa hata baadhi ya waganga wa kienyeji wanakushauri uwe unatoa misaada ya kuwalisha ,kuwafuturisha,kuwapa chakula masikini,walemavu n.k ili uzidi kufanikiwa

Utaona kuna wengine kila siku asubuhi alfajiri wanawatembelea wagonjwa mahospitali kupeleka misaada ya uji,chakula,nguo dawa na kadhalika...KUNA FAIDA KATIKA KUTOA ,Mungu anawalipa kwa matendo yao mema katika afya zao,familia zao,katika kila kitu Mungu anawalipa kwa ile mbegu njema wanayoipanda wanavuna mema.APANDACHO MTU NDICHO ANACHOVUNA.

KADHALIKA FUNGU LA KUMI ZAKA
sadaka ya zaka uki itoa kwa uaminfu ,aisee katika kitu chenye nguvu kinachoweza kuipa nguvu madhabahu yako ikakufanikisha kwa haraka katika nyanja zote ni KUTOA FUNGU LA KUMI ZAKA KWA UAMINFU.
Fanya hivi kila pesa unayoipata toa 10% weka pembeni hata kama umepata elefu kumi toa 10% weka pembeni hesabu kama ten percent siyo yako ni ya Mungu,kusanya wiki nzima hizo ten percent kutoka katika mapato yako ya wiki nzima peleka sadaka kanisani kwako unakoabudu,fanya hivyo kwa uaminifu ndani ya miezi mitatu tu lazima UTAKUJA KULETA MREJESHO lazima utaanza kuona matokea tena hata kabala ya mwezi kuisha.SADAKA YA ZAKA INA NGUVU SANA pamoja na SADAKA YA KUSAIDIA MASIKINI/WAHITAJI.

MADHABAHU ZA MIUNGU/MIZIMU
Ndio maana unaonaga wenzako kila mwishio wa mwaka wanarudi kijijini kwako kwenda kuhesabiwa kutambikiwa wanachinja mnyama wanasemea maneno ya kijadi wanaiomba mizimu ya kwao ,wanasafisha makaburi,wanaombea wafu wao na kuwaomba,wanapika pombe ya kienyeji ama za kiizungu wanamwaga chini kwanza pombe kidogo,wanamwaga damu chini wnapochinja wanafanya mila kila mwisho wa mwaka .
HALAFU wakimaliza wanarudi mjini kutafuta pesa na unakuta wanafanikiwa miungu mizimu yao inawafanikisha,

MADHABAHU ZOTE ZINAFANYA KAZI KWA KUPOKEA KAFARA SADAKA..SHETANI MFUMO WAKE ANA IGA MFUMO WA MUNGU
Japo madhabahu za miungu za nguvu za giza zina madhara yake.

KANUNI YA KUINGIA PEPONI NI UTAKATIFU KUACHA DHAMBI,KANUNI YA KUFANIKIWA DUNIANI NI KUTOA KUSAIDIA WENGINE.

UBAHILI NA UCHOYO wako wa kusaidia wahitaji na kutoa ZAKA KWA MUNGU ili kuimarisha madhabahu yako inaweza ikakupelekea kuwa muhitaji,yani maisha yako yanakosa ulinzi wa MUNGU biashara yako,pesa yako inakosa ulinzi wa Mungu,afya yako ,mali zako,kazi zako,mipango yako,sasa mwisho wa siku unajikuta ni sawa na unakusanya na kuhifadhi kwenye MIFUKO ILIYOTOBOKA ni sawa na kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka inayo vuja,ikipata pesa ama mafanikio ama familia yako bila ULINZI WA MUNGU utaandamwa na mikosi,hasara,majanga ,magonjwa maradhi pesa zitakuwa zinaisha bila wewe kujua zimeishaje KUMBE TATIZO HUTOI ZAKA hutoi sadaka kusaidia wahitaji.
Wakati mwingine mtu anatembea chini ya baraka na mafanikio kutokana na sadaka walizozitoa wazazi wako mababu na mabibi zako(Uzao wa IBRAHIMU) ulibarikiwa kutokana na sadaka yake baraka zikawafuata watoto wake na watoto wa watoto wake na vizazi vyake.
IBRAHIMU alikuwa tayari kumtoa sadaka mtoto wake wa pekee kwa ajili ya kumtolea Mungu,MUNGU alipo iona hiyo imani yake akambariki na vizazi vyake.
 
Kufanikiwa kivipi kama unamaanisha kuwa tajiri au kumiliki pesa nyingi basi utakuwa haujui nini unamaanisha

Kupata pesa au kutajirika hakuna uhusiano wowote na kutoa msaada au sadaka.

Kitu ambacho unabidi kujua MTU akishakuwa na pesa lazima atengeneze kitu kama hicho foundation n.k

Kwa lengo la kusaidia jamii ila sio ili abarikiwe au apate zaidi hiyo ni njia ya kulinda reputation yako na kutoruhusu kufatiliwa .

Hii ndo sababu matajiri wanakuwa na foundation au Wanajenga misikiti n.k

Kama kweli hiyo kanuni inafanya kazi basi watu Masikini wanaoenda nyumba za ibada wangekuwa wametajirika kwakuwa hao ndo wanaongoza kutoa kwa jamii.
 
Porojo, nimeona watu wengi wanasaidia na hawafanikiwi, wanafilisika au wanakufa masikini kabisa
Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia! ukitoa kwa lengo la KUFANIKIWA utakuwa unafanya biashara na sio msaada!
 
MAFANIKIO NI YA KIROHO
Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili.

KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE
Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za giza nguvu za miungu,ikiwemo,mizimu,waganga wa kienyeji,uchawi ,ushirikikina.

MADHABAHU YA KIROHO NYUMA YA MAFANIKIO
Mafanikio ya mwili yanayo onekana msingi wake ni madhabahu ya kiroho katika ulimwengu usio onekana inayofanya kazi nyuma ya ulimwengu wa kimwili inayoonekana kwa macho ya nyama ,ama iwe madhabahu ya nguvu za MUngu ama madhabahu ya miungu.
Madhabahu inafanya kazi kwa kupokea sadaka,kafara,mitambiko ndiyo inaipa nguvu madhabahu halafu hiyo madhabahu inakupa mwanadamu nguvu ya kufanikiwa hatima ya maisha yako.

MOJA YA SADAKA HIZO NI KUTOA SADAKA KWA WAHITAJI(Masikini,wajane,yatima,walemavu,ombaomba,wenye shida na uhitaji mbalimbali,wagonjwa,wafungwa n.k

UPANDE WA MUNGU NURU
Mungu amesema mkono unaotoa ndio utakaopokea,tena akasema ni heri kutoa kuliko kupokea,tena akasema dini iliyosafi mbele zake ni kwenda kuwasaidia wahitaji,na Mungu aka ahidi anayemsaidia muhitaji ama masikini yeye Mungu atamlipa kwa tendo lake hilo jema ni sawa na amemkopesha Mungu,na ahadi nyingine nyingi Mungu ameahidi ikiwemo kumuokoa wakati wa shida,wakati wa ugonjwa
Na yule anayetoa hatapungukiwa kitu,ameagiza tusiwanyime watu vitu,tena tukopeshe ,na tuwapende hata adui zetu.
Na asili ya kutoa ni yeye mwenyewe Mungu alimtoa mwanaye wa pekee kwa ajili yetu ili tuokolewe kutoka dhambini,
Na zaidi ya yeto akasema AMRI KUBWA kuliko zote ni UPENDO na maana ya upendo ni kutoa kitu chako cha thamani kwa ajili ya wengine UPENDO=KUTOA ,na yeye mwenyewe MUNGU akasema yeye ni PENDO akijitambulisha ,huwezi kusema unampenda mtu bila kutoa,na huwezi kumpenda Mungu bila kumpenda kwanza jirani yako,na upendo ni kutoa kwa ajili ya wengine.

AMRI KUU
MPENDE MUNGU=MPENDE JIRANI YAKO kumpenda Mungu ni kwanza kumpenda jirani yako,kumtumikia MUNGU ni kwanza kuwapenda jirani zako,pale unapomtendea wema masikini,asiye na nguo,mfungwa gerezani,mgonjwa hospitali,masikini,yatima ndio sawa na kumtendea MUNGU.
Huwezi kusema unampenda Mungu kama hawa jirani zako unawachukia.

MADHABAHU ZA GIZA
Mfumo wa shetani huwa ana copy na kupaste ana agiza mfumo wa Mungu unavyofanya kazi,hata yeye anapenda kujifananisha na Mungu,anatumia kanuni ileile.
MKONO UNAOTOA NDIO UTAKAOBARIKIWA ndio utaona ama utashangaa hata vyama vya nguvu za giza ama mawakala wa shetani nao wanatumia mfumo huo huo wa KUTOA SADAKA ILI WAPATE BARAKA
utaona wanajitangaza kama ni charity group vyama vya kutoa misaada,ama wanachinja mangamia,wanyama wanayafanyia makafara kwa kuyasemea maneno kunuizia halafu wnawagawia watu nyama bure hasa nyakati msimu wa sherehe za kuchinja ili kupitia kupokea misaada hiyo ya vyakula vya bure unauza baraka zako,kwa sababu mkono UNAOTOA NDIO UNAOBARIKIWA ni heri kutoa kuliko kupokea.
utaona hata baadhi ya mataifa yanatoa sana misaada kwa mataifa mengine misaada ya kibinadamu kwa sababu kanuni ya kiroho inasema mkono unaotoa ndio utakaobarikiwa.

utashangaa hata baadhi ya waganga wa kienyeji wanakushauri uwe unatoa misaada ya kuwalisha ,kuwafuturisha,kuwapa chakula masikini,walemavu n.k ili uzidi kufanikiwa

Utaona kuna wengine kila siku asubuhi alfajiri wanawatembelea wagonjwa mahospitali kupeleka misaada ya uji,chakula,nguo dawa na kadhalika...KUNA FAIDA KATIKA KUTOA ,Mungu anawalipa kwa matendo yao mema katika afya zao,familia zao,katika kila kitu Mungu anawalipa kwa ile mbegu njema wanayoipanda wanavuna mema.APANDACHO MTU NDICHO ANACHOVUNA.

KADHALIKA FUNGU LA KUMI ZAKA
sadaka ya zaka uki itoa kwa uaminfu ,aisee katika kitu chenye nguvu kinachoweza kuipa nguvu madhabahu yako ikakufanikisha kwa haraka katika nyanja zote ni KUTOA FUNGU LA KUMI ZAKA KWA UAMINFU.
Fanya hivi kila pesa unayoipata toa 10% weka pembeni hata kama umepata elefu kumi toa 10% weka pembeni hesabu kama ten percent siyo yako ni ya Mungu,kusanya wiki nzima hizo ten percent kutoka katika mapato yako ya wiki nzima peleka sadaka kanisani kwako unakoabudu,fanya hivyo kwa uaminifu ndani ya miezi mitatu tu lazima UTAKUJA KULETA MREJESHO lazima utaanza kuona matokea tena hata kabala ya mwezi kuisha.SADAKA YA ZAKA INA NGUVU SANA pamoja na SADAKA YA KUSAIDIA MASIKINI/WAHITAJI.

MADHABAHU ZA MIUNGU/MIZIMU
Ndio maana unaonaga wenzako kila mwishio wa mwaka wanarudi kijijini kwako kwenda kuhesabiwa kutambikiwa wanachinja mnyama wanasemea maneno ya kijadi wanaiomba mizimu ya kwao ,wanasafisha makaburi,wanaombea wafu wao na kuwaomba,wanapika pombe ya kienyeji ama za kiizungu wanamwaga chini kwanza pombe kidogo,wanamwaga damu chini wnapochinja wanafanya mila kila mwisho wa mwaka .
HALAFU wakimaliza wanarudi mjini kutafuta pesa na unakuta wanafanikiwa miungu mizimu yao inawafanikisha,

MADHABAHU ZOTE ZINAFANYA KAZI KWA KUPOKEA KAFARA SADAKA..SHETANI MFUMO WAKE ANA IGA MFUMO WA MUNGU
Japo madhabahu za miungu za nguvu za giza zina madhara yake.

KANUNI YA KUINGIA PEPONI NI UTAKATIFU KUACHA DHAMBI,KANUNI YA KUFANIKIWA DUNIANI NI KUTOA KUSAIDIA WENGINE.

UBAHILI NA UCHOYO wako wa kusaidia wahitaji na kutoa ZAKA KWA MUNGU ili kuimarisha madhabahu yako inaweza ikakupelekea kuwa muhitaji,yani maisha yako yanakosa ulinzi wa MUNGU biashara yako,pesa yako inakosa ulinzi wa Mungu,afya yako ,mali zako,kazi zako,mipango yako,sasa mwisho wa siku unajikuta ni sawa na unakusanya na kuhifadhi kwenye MIFUKO ILIYOTOBOKA ni sawa na kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka inayo vuja,ikipata pesa ama mafanikio ama familia yako bila ULINZI WA MUNGU utaandamwa na mikosi,hasara,majanga ,magonjwa maradhi pesa zitakuwa zinaisha bila wewe kujua zimeishaje KUMBE TATIZO HUTOI ZAKA hutoi sadaka kusaidia wahitaji.
Wakati mwingine mtu anatembea chini ya baraka na mafanikio kutokana na sadaka walizozitoa wazazi wako mababu na mabibi zako(Uzao wa IBRAHIMU) ulibarikiwa kutokana na sadaka yake baraka zikawafuata watoto wake na watoto wa watoto wake na vizazi vyake.
IBRAHIMU alikuwa tayari kumtoa sadaka mtoto wake wa pekee kwa ajili ya kumtolea Mungu,MUNGU alipo iona hiyo imani yake akambariki na vizazi vyake.
Uongo
 
.
 
Attachments

  • DIN SAFY.jpg
    DIN SAFY.jpg
    36 KB · Views: 11
  • DINI SAFI2.jpg
    DINI SAFI2.jpg
    36 KB · Views: 8
  • DINI SAFI.jpg
    DINI SAFI.jpg
    25.9 KB · Views: 10
  • HERI.jpg
    HERI.jpg
    25.3 KB · Views: 8
  • SAVER.jpg
    SAVER.jpg
    29 KB · Views: 13
  • SADAKA.jpg
    SADAKA.jpg
    4.8 KB · Views: 7
  • SAIDIA.jpg
    SAIDIA.jpg
    49.1 KB · Views: 11
  • ENENGA.jpg
    ENENGA.jpg
    27.7 KB · Views: 9
  • MPE.jpg
    MPE.jpg
    41.3 KB · Views: 9
  • TOA.jpg
    TOA.jpg
    8.4 KB · Views: 11
  • GIVE.jpg
    GIVE.jpg
    36.3 KB · Views: 8
  • KUHANI.jpg
    KUHANI.jpg
    46.6 KB · Views: 11
ulimwengu wa roho hauonekani,imani haionekani,ila MATENDO YAKO ndiyo yanageuzwa kuwa HAZINA YA THAWABU KATIKA ULIMWENGU WA ROHO. ndio maana imani bila matendo haifai kitu,tutatolea hesabu ya matendo yetu,KUVUNA ULICHOPANDA.
Hicho kinachoitwa Ulimwengu wa Roho ni Fiction Tu kama maigizo ya Futuhi, wajinga ndio wanadanganywa vitu visivyoonekana vya uongo uongo kama hivyo ili waambiwe ni imani
 
Ukweli ni kuwa hakuna kitu kama Hicho, mbona Mwamposa ni tajiri hawaoi maskini?
UTAJIRI KAMA SEHEMU YA MAFANIKIO MAFANIKIO YOYOTE NI YA KIROHO IKIWEMO PESA ,UMAARUFU NAKADHALIKA...lazima mafanikio yoyote yaanzie kwenye madhabahu ya KIROHO kabla hajatimilika katika ulimwengu wa mwili,MADHABAHU YEYOTE INA OPERATE KWA KUPOKEA SADAKA..LAZIMA UITOLEE SADAKA ,mojawapo ya hizo sadaka ni kwa MUNGU ama miungu na kuwasaidia wahitaji ama kuwapa watu vitu.
 
Wengi wamepoteza baraka zao ama wamelogwa ama wameibiwa baraka zao KUPITIA KUPEWA TU VITU NA WATU NA KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WATU,mfano wengi hata wamelogwa ama kuibiwa barka zao kupitia tu hata kupewa zawadi ya CHAKULA TU
Tunaona ADAMU alipoteza nafasi yake ya uhusiano wake na MUNGU na kufukuzwa bustani ya EDENI kupitia tu chakula,tunaona YAKOBO alipata baraka za ESAU kwa kumlaghai kupitia kumpa BAKULI/SAHANI ya chakula akachukua baraka zake na haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
TUNAONA TENA shetani ana mjaribu YESU pale alipoona njaa jangwani baada ya Yesu kufunga siku 40 ,shetani akamjaribu akamlaghai ageuze mawe yawe CHAKULA ale..

kupitia zawadi ya chakula watu wengi hata leo wameibiwa baraka zao kupitia kula vyakula vya ofda vya bure bure kama zawadi kumbe vyakula vimenuiziwa maagano ni makafara watu wamechinja ngamia wanapita majumbani kuwagawia nyama za bure mle kwenye sherehe.
 
Back
Top Bottom