SIRI YA KUFANIKIWA DUNIANI IPO KWENYE KUTOA MISAADA KWA (WAHITAJI)WENGINE(KANUNI YA KIROHO)

Ukishajua kucheza na ulimwengu wa roho ni basi. Na uwe mtunzaji mzuri wa siri
 
wengine chanzo cha kuharibikiwa kwao walipewa tu zawadi ya viatu tu...walivyopokea tu hiyo zawadi ya viatu na kuvivaa ndio mambo yao yakaharibikiwa.
 
KWA WALE WANAOAMINI KATIKA MUNGU
Fungu la kumi zaka ni mambo yote
Ukitoa zaka pesa yako inakuwa na ulinzi,na mali zako,afya yako,biashara yako,familia yako kila kilicho chako kinakuwa na ulinzi wa MUNGU,
USIPOTOA ZAKA MUNGU ANAONDOA ULINZI kwenye mali zako na kila chako chochote utakachofanay ndipo hapo sasa shetani na wachawi wanapata nguvu ya kukushambulia uchumi wako na mambno yako,ndipo hapo sasa unakuwa unakusanya pesa sawa na kuweka kwenye mfuko uliotoboka ,wewe utadhani unazuia kufanya ubahili kumbe hauzuiwii hautunzu hau hifadhi ILA UNATAPANYA,ZITAPOTEA UKIPATA PESA TU MATATIZO YANAIBUKA MPAKA ZINAISHA ZOTE HARAKA unapata pesa polepole kwa shida kama kobe ila ukizipata zinapotea fasta kama kwamspeed ya JET NDEGE YA KUPAA.
UKITOA ZAKA KWA UAMINIFU UTASTAWI KILA NYANJA mpaka watu wataanzaz kukuita wewe ni mchawi,kumbe UCHAWI NI ZAKA,ZAKA NI MWISHO WA MAMBO YOTE. PAMOJA NA KUSAIDIA WAHITAJI MASIKINI N.K
 
 

Attachments

  • zaka.jpg
    12.4 KB · Views: 6
Porojo, nimeona watu wengi wanasaidia na hawafanikiwi, wanafilisika au wanakufa masikini kabisa

Zaburi 41:1-3
Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida. Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha makuchani mwa maadui zake. Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote
 
Matayo 25:42-46

42 Kwa maana nilikuwa na njaa hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu na hamkunipa kitu cha kunywa; 43 nilikuwa mgeni wala hamkunikaribisha; nilikuwa uchi hamkuni vika; na nilikuwa mgonjwa na gerezani nanyi hamkuja kunitazama.’

44 “Ndipo wao pia watajibu, ‘Bwana ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, au ukiwa mgeni au ukihitaji nguo, au ukiwa mgonjwa na kifungoni na hatukukuhudumia?’

45 “Naye atawajibu, ‘Nawaambieni kweli, kwa jinsi ambavyo hamkumfanyia mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkuni fanyia mimi.’

46 “Basi hawa wataingia katika adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.”

Waebrania 13:2
Msisahau kuwakaribisha wageni, kwa kuwa kwa kufanya hivyo, watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua.
 
1 Petro 4:8
Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.

UPENDO=KUTOA KITU CHA THAMANK KWA AJILI YA WENGINE

Yn 3:16-17 S
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…