wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Kwani enzi za Tanganyika ya Mwalimu Nyerere, Bagamoyo na Dar es Salaam zilikuwa ni sehemu ya Zanzibar?nilikuwa na jiuliza kwa lipi kumekuwa na mgogoro wa kung'ang'ania muungano na zanzibar bila ya kupata majibu.
Kwa mara ya kwanza nimefunuliwa macho na mzee mwenye umri wa miaka 102 wa zanzibar , ameniambia ninachosababisha hali hii ,ni kuhofia zanzibar kuja kuzida dar es salaam na bagamoyo kwani ni sehemu za zanzibar ,
sijajua kivipi kama kuna mwenye data juu ya hili anipe raha
nilikuwa na jiuliza kwa lipi kumekuwa na mgogoro wa kung'ang'ania muungano na zanzibar bila ya kupata majibu.
Kwa mara ya kwanza nimefunuliwa macho na mzee mwenye umri wa miaka 102 wa zanzibar , ameniambia ninachosababisha hali hii ,ni kuhofia zanzibar kuja kuzida dar es salaam na bagamoyo kwani ni sehemu za zanzibar ,
sijajua kivipi kama kuna mwenye data juu ya hili anipe raha
Ni kweli mpaka wa hapo kale zanzibar ilikua na bagamoyo mlandizi dar mto rufiji kuelekea baharini
huyo mzee atakuwa mme wa bi kidude aliye sema hata clauds fm ni yake.wazee wa kiswahili na elima ya kahawa na kashata plus dhumna we kijana et unakwenda kuweta makalio upewe elimu ya muungani
Hao Midebwedo hawakawii kusema hata Arusha, Mwanza na Kigoma ni yao.
Pambaf kabisa