nilikuwa na jiuliza kwa lipi kumekuwa na mgogoro wa kung'ang'ania muungano na zanzibar bila ya kupata majibu.
Kwa mara ya kwanza nimefunuliwa macho na mzee mwenye umri wa miaka 102 wa zanzibar , ameniambia ninachosababisha hali hii ,ni kuhofia zanzibar kuja kuzida dar es salaam na bagamoyo kwani ni sehemu za zanzibar ,
sijajua kivipi kama kuna mwenye data juu ya hili anipe raha
ndo kisa cha julius kutaka mjimkuu uwe Dodoma,just in case.Ni kweli mpaka wa hapo kale zanzibar ilikua na bagamoyo mlandizi dar mto rufiji kuelekea baharini
Siri ya kung'ang'ania muungano ni tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi na sio maslahi ya umma!
Carl peter and Germany east africa company arrived in Tanganyika in 1885,and in 1888 he LEASED a 16km wide strip from the SULTAN OF ZANZIBAR along the entire coast.
Kuna mikataba miwili ya waingereza na wajerumani ya 1886 na 1890. ule wa 1886 ulipunguza himaya ya sultani wa Zanzibar hadi ukanda wa maili 10 wa pwani ya tanganyika na ukiweka na visiwa vya zanziba na Pemba na miji kadhaa ya pwani ya EA. mkataba wa 1890 wajerumani walinunua ukanda huo kutoka kwa sulta. kabla ya hii mikataba sultani wa zanzibar alikuwa na himaya eneo kubwa tu la bara. kimsingi kama si kuja kwa wakoloni kutoka ulaya tanganyika na kwingineko EA lingekuwa eneo la utawala wa waarabu kutokea zanzibar kwa muda mrefu. Hoja ya mzee inajikita kwenye mabo haya ingawa kwa sasa si applicable tena
sultan ndo alieujenga mji huo.Hivi jina la dar-es-salaam ni nani mwanzilishi
then tujiulize kwanini Mwl nyerere alifanya juu chini kuukeep huu muungano kwa gharama yoyote ile?yaleyale ya mombasa kuwa sehemu ya zanzibar, ni kweli kwa wakati huo chini ya waarab lkn leo hii haiwezekani.
kwamaana nyingine mkataba ulikua uishe mwaka 1938...lakini katikati ya hapo ikatokea vita ya kwanza ya dunia na wajerumani wakaondoka Tanganyika na kumwachia mwingereza...je nini ilikua hatima ya huo mkataba wa kukodi ukanda wa pwani kwa miaka 50?84 28
Mar
ch The Society for German Colonization is
formed by Karl Peters in order to acquire
German colonial territories in overseas
countries. Peters signs treaties with
several native chieftains on the mainland
opposite Zanzibar.[11]
18
85 3
Mar
ch The German government announces its
intention to establish a protectorate in
East Africa.
2
Apri
l The German East Africa Company is
formed by Karl Peters to govern German
East Africa.
18
86 1
Nov
em
ber An agreement is reached between Britain
and Germany designating a 10-mile
(16 km) wide strip of land along the coast
as being controlled by Sultan Barghash
bin Said, along with Zanzibar, Pemba, and
Mafia. The area that is to become
Tanganyika is assigned to Germany while
the area will become Kenya is assigned to
Britain.[12]
18
88 Apri
l The German East Africa Company leases
the coastal strip opposite Zanzibar from
Sultan Khalifah bin Said for 50 years.[13]