Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
1• Mwanamke elewa kwamba huwezi kumlazimisha mwanamme akupende hata umfanyie Nini ie, umpe hela etc, jua tu ataishia kukutumia tu then atakuacha.
2•. Mwanaume anayeonyesha kukupenda zaidi kuliko ww (ke) vile unavyompenda mheshim usimdharau Wala kumuudhi cheza nae kwa akili ili siku ukikwama kwa huyo handsome wako iwe rahisi kuendelea nae na uzuri wake wanaume wagumu ndo wanaoaga,
3• Usione aibu kumtambulisha mmeo hata Kama hana mvuto kwani huyo ndye pekee ambaye mtazeeka naye ndoa itaishi milele.
3• NENDA KWA MME ANAYEKUPENDA ZAIDI WW KULIKO VILE WW (Ke) UNAVYOMPENDA