Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao.
Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli bali wamefundishwa kupiga kelele kanisani/msikitini na kusababisha Mungu/ulimwengu kutosikia maombi yao.
Sitoi lawama bali hayo ndio mafundisho waliopewa kwa kupiga vinanda na nyimbo za mapambio. Hizo maombi Mungu haelewi hiyo lugha/language.
Acha kuomba Mungu kwa dhana kuwa yupo mbinguni juu, anatuhesabia dhambi, atatuchoma moto tukifa. Atuumbe halafu atuchome? Sasa kwanini alituumba?
Kwanini apoteze muda wake? Na wakati Mungu ni mjuzi wa vyote, Mungu sio mjinga, hivyo hawezi kufanya hivyo. Kwanza fahamu dhana halisi ya Mungu ni roho/energy, yaani nguvu kuu inayoendesha dunia na vyote vilivyopo.
Haifi wala haijawahi kulala, hata kusikia njaa na hata kuonja umauti. Ukielewa sasa ndio uje na mitazamo mipya. Kwanza jitambue kwa kujitafuta wewe ni nani, upo katika dunia kwa lengo gani, ndio uje kumjua Mungu ni nini au nani.
Natumai utakuwa huru zaidi na utakuwa umetoa matongotongo ya macho, kwani utakuwa nuru. Ukiwa nuru basi utakuwa huru na sio giza tena, kuona nuru ya Mungu/ulimwengu.