Una akili kubwa sana mkuu.Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu,embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania ,leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa..
Kwanini Korea kaskazin hakufa MTU hata moja kwa corona?Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu,embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania ,leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Kwa hiyo baada ya vyama hivyo vikongwe kuondoka madarakani ndio nchi hizo zimepata maendeleo makubwa kuishinda Tanzania ambayo bado inaongozwa na CCM ambacho ni chama kikongwe? Hebu tutajie hizo nchi halafu tulingainishie maendeleo yake ya wkati huo na sasa kama yanazidi ya Tanzania!"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe 19/10/2020
Unachotuambia hapa ni kwamba Mungu ana ubaguzi. Unakufuru bila kujijua. Yakikupata ya kukupata shauri yako.Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu,embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania ,leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Tumia akili yako kuona kina cha habari usikurupuke tu,siku hakuletwi malaika kukupa habari,Kama korona ingekuwepo na kushika kasi ,hivi uchaguzi nao ungekuwepo jamaa si ndio wangesema wcha tumalize miaka mitani migine korona itakuwa imemaliza,sijui mnatumia akili zenu au mnasubiri kuchangiwa hata kwa hili liliopo wazi halitaki darubini kuona ukweliCovid-19 haijafika Tanzania? Au unamaanisha Toyota corona?
Tulicheleweshwa na nani?mliopo tanzania pambaneni na hali zenu, tuliopo nje ya nchi tunasema magufuli anadeserve mitano tena .... ndugu zangu tulichelewa sana