XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,351
- 7,105
it does not matter, tunachagua mtu hatuchagui chama ..Tulicheleweshwa na nani?
it does not matter, tunachagua mtu hatuchagui chama ..Tulicheleweshwa na nani?
Kwa sababu yeye ni mgombea binafsi sio?it does not matter, tunachagua mtu hatuchagui chama ..
Kama ameweza kufichua madhaifu ya wenzie basi hatuna budi kusema kuwa anadeserve mitano tena, wafuasi wa lissu subirini baada ya uchaguzi anaweza kupewa ata ukuu wa mkoa mumfate akawaongoze ila kwa sasa magufuli mitano tena.Kwa sababu yeye ni mgombea binafsi sio?
Madhaifu aliyoyafichua ni yapi hayo?Labda ni zile tenda za MAYANGA,bomoabomoa,kudhulumu hela za korosho,kupandisha makato loan board kutoka 8% to 15%,kuwacheleweshea wastaafu mafao yao kwa miaka ya kutosha,kujenga kiwanja kijijini kwao,etckama ameweza kufichua madhaifu ya wenzie basi hatuna budi kusema kuwa anadeserve mitano tena,, wafuasi wa lissu subirini baada ya uchaguzi anaweza kupewa ata ukuu wa mkoa mumfate akawaongoze ila kwa sasa magufuli mitano tena ..
Mkuu haijawahi kutokea serikali isiyo na mapungufu na haitatokea na ndio maana kila siku tunashuhudia maandamano kwenye nchi za wenzetu, cha msingi ni kupima mema na mabaya yake ambapo ni dhahiri kuwa ana mengi mazuri aliyoyafanya kwa kipindi cha muda mchache wa miaka mitano na la msingi zaidi ni kwamba yeye pia ni binadam hajakamilika, angalizo: mkishampa mbeligiji madaraka msijesema hamkupewa tahadhari.Madhaifu aliyoyafichua ni yapi hayo?Labda ni zile tenda za MAYANGA,bomoabomoa,kudhulumu hela za korosho,kupandisha makato loan board kutoka 8% to 15%,kuwacheleweshea wastaafu mafao yao kwa miaka ya kutosha,kujenga kiwanja kijijini kwao,etc
mkuu haijawahi kutokea serikali isiyo na mapungufu na haitatokea na ndio maana kila siku tunashuhudia maandamano kwenye nchi za wenzetu, cha msingi ni kupima mema na mabaya yake ambapo ni dhahiri kuwa ana mengi mazuri aliyoyafanya kwa kipindi cha muda mchache wa miaka mitano na la msingi zaidi ni kwamba yeye pia ni binadam hajakamilika,, angalizo: mkishampa mbeligiji madaraka msijesema hamkupewa tahadhari ..
"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe 19/10/2020
wewe umelewa pombe gani? mjinga sana ungekuwa karibu ningekupiga kichwa cha pua ubongo wako ukae sawa.Tumia akili yako kuona kina cha habari usikurupuke tu,siku hakuletwi malaika kukupa habari,Kama korona ingekuwepo na kushika kasi ,hivi uchaguzi nao ungekuwepo jamaa si ndio wangesema wcha tumalize miaka mitani migine korona itakuwa imemaliza,sijui mnatumia akili zenu au mnasubiri kuchangiwa hata kwa hili liliopo wazi halitaki darubini kuona ukweli
Imani ni nini?Imani ni kitu cha ajabu sana.
Wakati wafuasi wa Magufuli wanasema Corona kutoua watu sana ni ishara maombi ya Magufuli yamekubalika kwa Mungu, wapinzani wao wanasema Corona haijaua watu, Mungu kafanya hivyo ili kampeni dhidi ya Magufuli zifanikiwe.
Na wote hawawezi kuthibitisha Mungu yupo.
Imani ni kukubali kitu kuwapo bila ya uthibitisho kamili kwamba kipo.
Mkapa alituaminisha kuwa ili uwe rais lzma ujulikane kimataifa lkn akaja jpm akasema sitovuka nje ya majirani zangu, tukagundua kuwa hii nchi ni nyepesi sana kuliko maneno ya wanasiasa.Kwa hiyo baada ya vyama hivyo vikongwe kuondoka madarakani ndio nchi hizo zimepata maendeleo makubwa kuishinda Tanzania ambayo bado inaongozwa na CCM ambacho ni chama kikongwe? Hebu tutajie hizo nchi halafu tulingainishie maendeleo yake ya wkati huo na sasa kama yanazidi ya Tanzania!
Ndugu usikariri maisha hapa duniani utafeli kila siku. Hakuna mahali popote palipoandikwa kwamba upinzani ukiingia madarakani ndio kutakuwa na maendeleo. Mifano ni mingi sana katika nchi za kiafrika ambapo upinzani ulichukua madaraka lakini kinyume chake ndio uchumi wa nchi hizo ukazidi kudidimia zaidi!
Vipi mkuu we unavaa barakoa ? 🤣🤣🤣Watanzania bana - ugonjwa umeua rais mstaafu, waziri, wabunge na watumishi wa Mungu lakini mnajidanganya eti korona haikufika na haipo.
Kenya kwa mfano amekufa kiongozi gani maarufu kwa korona?
Jpm28/10
Lete mrejesho wa hili.Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua wala hatukutegemea na kuijua mipango ya Mwenyezi Mungu,leo ndio unaona kuwa tumeweza kukutana na kufanikiwa kuiondoa CCM madarakani,hili halina makando kando ni kitu kipo wazi kabisa.
Wape na wengine habari hii iliyofunuliwa kwako leo. Kura yako ni kwa Tundu Lissu, Mwenyezi Mungu ametuondolea marazi kwa ajili ya kuondoa ugonjwa huu uitwao CCM ni baraka tosha,kwa wenye ufahamu wa kina. Fikiria tu kama Covid 19 angechachamaa hapa Tanzania kungekuwepo na Uchaguzi? Jibu swali hilo, sasa kwanini nafasi uliyopewa usishiriki kuikataa CCM,shiriki na andika historia kuwa umeshiriki kuikataa CCM.