Mapenzi ni kujitoa muhanga sio vinginevyo. Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kwa lolote, yani hata shida ya aina gani iwatokee wapenzi penzi halivunjiki ndio kwanza linaimarika. Pasipo kujitoa muhanga hakuna mapenzi bali kupotezeana muda wakati mwingine hata maisha. Kagua upendo wako au ndoa yako uone kama ina kiwango hicho.
mhhh! kuna shida na shida za kujitoa muhanga jamani, labda mwanaume kakuletea mwanamke mwenzio ndani then ujitoe muhanga?......
.... Sacrifice you mean?kuna sehemu tatu kwa mapenzi hayo yaani labda mimi , yeye na sisi. mfano mimi na yeye tunapendana lakini sisi hatupendani itakuwa ngumu kudumu, kama mimi nampenda yeye labda hanipendi lakini sisi tunapendana itadumu marekebisho kidogo. nakama mimi na yeye hatupendani lakini sisi tunapenda itadumu kw marekebisho makubwa. Mdau uko sawa kabisa hasa wakati wamajaribio ya mapenzi kujua nani anakufaa. kujitoa muhanga kunahusika na kupunguza masharti vile vile kwa kucompasate mapungufu
Shost umenikumbusha leo asubuhi nlikuwa nasikiliza Hizi nazo wimbo mmoja (sikumbuki jina) mke analalamika mume ana gubu akikosea litasemwa hadi kesho yake akajibiwa ni kweli shemeji ana gubu kna hawezi acha kwa kuwa alizaliwa nalo so avumilie!! Nikacheka na yangu.
Haya wajitoa muhanga kivije ndo kakuletea mke mwenza!! Labda ujitoe mhanga kwa kumrarua rarua huyo mumeo kwa kucha na meno!
kuna sehemu tatu kwa mapenzi hayo yaani labda mimi , yeye na sisi. mfano mimi na yeye tunapendana lakini sisi hatupendani itakuwa ngumu kudumu, kama mimi nampenda yeye labda hanipendi lakini sisi tunapendana itadumu marekebisho kidogo. nakama mimi na yeye hatupendani lakini sisi tunapenda itadumu kw marekebisho makubwa. Mdau uko sawa kabisa hasa wakati wamajaribio ya mapenzi kujua nani anakufaa. kujitoa muhanga kunahusika na kupunguza masharti vile vile kwa kucompasate mapungufu
.... Sacrifice you mean?
Umeniacha nyuma na hiyo picha yako ya mimi na yeye tunapendana but sisi hatupendani naomba ufafanuzi tafadhali
si ndio hapo shost wangu, halafu kujitoa muhanga mazima ina cost baadae....Lol
Mapenzi ni kujitoa muhanga sio vinginevyo. Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kwa lolote, yani hata shida ya aina gani iwatokee wapenzi penzi halivunjiki ndio kwanza linaimarika. Pasipo kujitoa muhanga hakuna mapenzi bali kupotezeana muda wakati mwingine hata maisha. Kagua upendo wako au ndoa yako uone kama ina kiwango hicho.
kaka hilo nalo la kweli kwa wale wasemao eti nampenda hanipendi mna matatizo mtafute akupendaye ?? unajua usimpende mtu eti kwakua anakupenda bali kwakuwa mnapendana na mkipendana ndo kule kujilipua yaani wewe mavuli juu yako na wewe mwavuli juu yake . umeona sasa? kumbe mnategemeana !!! mkitegemeana mmejitoa mhanga pamoja maana yake lenu moja hapo mmependana kinyume na hapo onja onja na mwisho wake wizi mtupu???!!!
imekuwa ngumu kujibu hii hoja niliingia msituni kidogo majibu yangu ni kama ufuatavyo. Ukijihusisha kimapeni na mtu asiye wako unajicheat mwenyewe humcheat mwezi wako. Kazi ya kila mmoja ni kuhakikisha hajicheat mwenyewe. Ukiangalia haya mambo ya mapenzi kwa undani wake mfano mwanaume anayejisifia ametembea na wanawake wengi ni kwamba anajisifia amelaaniwa na wanawake wengi. Maana mwanaume akisha maliza heshima yake kwa hao wanawake inapungua hivyo husababisha manung'uniko kwa akinadada aliotembea nao hapo ndipo hiyo laana inakuja. Sina uhakika kuhusu wakina dada kujisifia wametembea na akina kaka. Kama unavyojua jinsi wazazi wakitoa radhi kwa wanao wanavyofanya.mhhh! Kuna shida na shida za kujitoa muhanga jamani, labda mwanaume kakuletea mwanamke mwenzio ndani then ujitoe muhanga?......
Shost umenikumbusha leo asubuhi nlikuwa nasikiliza Hizi nazo wimbo mmoja (sikumbuki jina) mke analalamika mume ana gubu akikosea litasemwa hadi kesho yake akajibiwa ni kweli shemeji ana gubu kna hawezi acha kwa kuwa alizaliwa nalo so avumilie!! Nikacheka na yangu.
Haya wajitoa muhanga kivije ndo kakuletea mke mwenza!! Labda ujitoe mhanga kwa kumrarua rarua huyo mumeo kwa kucha na meno!
Mapenzi ni kujitoa muhanga sio vinginevyo. Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kwa lolote, yani hata shida ya aina gani iwatokee wapenzi penzi halivunjiki ndio kwanza linaimarika. Pasipo kujitoa muhanga hakuna mapenzi bali kupotezeana muda wakati mwingine hata maisha. Kagua upendo wako au ndoa yako uone kama ina kiwango hicho.
Ha ha ha ha ha MJO! isije tu ikawa yeye ndio akakuraruararua. Ndoa pamoja na kuwa zinataka uvumilivu wa hali ya juu kutoka kwa wote waliomo katika ndoa hiyo, lakini kuna manyanyaso mengine hayastahili kabisa kujitoa muhanga. Life is too short kuishi katika ndoa ambayo kila siku iendayo kwa Mungu ni manyanyaso tu tena ya hali juu na tabia ambazo hazikubaliwi ndani ya ndoa.
Limbukeni;
Ieleweke kuwa Kihistoria na uzoefu Mapenzi hupanda na kushuka except katika few cases.
Mimi nadhani ni vyema sasa Mapenzi au ndoa nyingi zijengwa kwanza katika foundation ya urafiki zaidi kuliko mapenzi. Ikiwa hivyo, hata inapofikia wakati mapenzi yanayumba, urafiki unabaki kama muhimili.
Vitu kama kuwa na common interests na hobbies vinasaidia sana achilia mapenzi yenyewe ambao wahenga walishasema mwanzoni ni matamu mwishoni . . . . .
Pia, Mkifanikiwa kiuchumi hilo pia ni jambo jema. Kitu kikubwa kinachoyumbisha ndoa ni upungufu wa mahitaji ya kifedha ambayo baadhi wanashawishika kuvuka mipaka na kutoka nje.
Mwishoni peaneni nafasi za kupumua. Zero distance kila wakati na ushushushu haufai.
If u love somebody, set him/her free! If he/she comes back to you, she is yours!